Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amesema Chama chao kiliamua kushiriki Uchaguzi Mkuu ili kuonyesha uzalendo na kudumisha amani na mshikamano kama Taifa moja
Prof. Lipumba amesema hayo Oktoba 5, 2025 kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala kupitia Chama hicho Sheikh Said Kinyogoli, uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Rangi Tatu, Mbagala jijini Dar es Salaam