Pocket money

Pocket money

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
article-2676860-1F4F50DB00000578-776_634x871.jpg


Take a peek: Launched by a 17-year-old boy from the UK, Rich Kids of Snapchat is a Facebook page offering a glimpse into the luxurious lifestyles of a group of teens and 20-somethings
 
article-2676860-1F4F515200000578-480_634x885.jpg

Living the life: First there were the Rich Kids of Instagram, and now the privileged youth are flaunting their wealth on Rich Kids of Snapchat (pictured: a snap from the page)
 
Hivi Mwanaasha aliyakuta ukubwani?!

unafikiri niliposema waliozoea nilimaanisha 100%??? kuna percent watapata division 5 lakini si kwa sababu ya utajiri wao....btw alikuta ukubwani kwasababu babaake kapata 'hela' ukubwani hawakuzikuta zimewakuta....
 
very soon familia yangu wataenjoy hayo hayo.. sema nikipata watoto hela watakula sema bila kusahau kuwabana maana ujinga mwingi siku hizi kwa watoto, lazima nitembeze mboko.l
 
Wanangu wanakula hela kwa targets wanazowekewa na kuzitimiza
 
nilivyo mlevi hizo 1300 usd sijui ni pounds, ningekunywa cognac na marafiki huku tunasikiliza black metal. baada ya wiki naomba tena hela. si zipo!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom