Pocket money kwa mke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pocket money kwa mke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Penny, Oct 13, 2008.

 1. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Leo nimekuja na ombi lingine. Hivi mwanamke (mama wa nyumbani)anastahili au hastahili kupewa pocket money ya kujinunulia vitu vyake vidogo mpaka aviorodheshe kwenye list ya vitu vya mwisho wa mwezi! Kwa kweli hili jambo linanishangaza sana kwa huyu bwana maana kupewa hio pesa ni mpaka uiombe kwa nguvu sana ikibidi na ugomvi juu yake. Sasa mume asimpompa mke pesa ategemee akapate wapi! ukiuliza kwa nini hakupi hiyo pocket money kila mwezi anakaa kimya tuu, ukimuuliza haujui kwamba anatakiwa kufanya hivyo anasema anajua. Sasa jamani mtu kama huyu aelewekeje! naombeni msaada tafadhali.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,692
  Trophy Points: 280
  Kwa maoni yangu, mwanamke anastahili kupewa pocket money ya matumizi yake madogo madogo, lakini wakati huo huo kwa dunia ya leo ni vizuri mama akajaribu kutafuta njia za kujiendeleza ili apate ajira au hata kufungua kabiashara kadogo ambako katamhakikishia mapato ya kukidhi matatizo yake madogo madogo ya kila siku ili kuepukana na ugomvi wa kuomba pesa kwa wanaume wakorofi ambao hawaelewi kama mwanamke anahitaji pesa za matumizi yake madogomadogo.
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  hayo matumizi madogo madogo ni yepi kwa hao kinamama?
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,692
  Trophy Points: 280
  Samahani Kibunango kama nimekosea, nadhani wewe ni mwanamke hivyo ungekuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kutufafanunulia hayo matumizi., kama si mwanamke niwie radhi kwa makosa yangu. Matumizi hayo ni pamoja na vipodozi ikiwamo kutengeneza nywele au kusuka na pia usafi wa mwili wake hasa anapotembelewa na yule jamaa wa kila mwezi. Vinginevyo njemba inaanza kumezea mate visura wengine wakati wa kwake hampi matunzo yeyote yale ili naye apendeze.
   
 5. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sorry i use the same names. Asante sana kwa msaada wako kaka, kwa kweli ningeliweza kufanya kazi hapa nilipo ila ndo mpaka niielewe lugha ya nchi kwanza. Na licha ya hapo nilimwambia basi aninunulie drier la nyewele ili niweze kutengenezea angalao wanawake nyewele (domestic saloon.) ila napigwa kalenda za hiyo hela mpaka sasa. Nimeamua kukopa hela kwa mama mzazi nyumbani na amenihaidi baada ya mwezi mmoja.
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,692
  Trophy Points: 280
  Pole sana dada jaribu kuwa mvumilivu labda mumeo atabadilika na kuona umuhimu wa kukupa pocket money. Jitahidi uijue lugha ya hapo ulipo hii itakusaidia katika kupata ajira, pia kuna umuhimu mkubwa wa wewe kwenda shule kama utaweza kufanya hivyo.
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ---bubu bubu bubu.... tema mate chini mara moja!!! yaani njemba kama kibunango hujaitambua tu na post zake zote hizo kwenye 'mambo ya wakubwa'?!!

  ---jaribu basi kucheck vituko vyake vya Zenji upate kumwelewa kibunango!!!

  ---asilan umeshaomba radhi, natumaini atakusamehe........ ;)
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,692
  Trophy Points: 280
  Haya majina tunayotumia hapa yanachanganya maana mengi yanaficha jinsia ya mwenye jina :(, nadhani nilisoma hapa kwamba Kibunango ni mwanamke kumbe sivyo...LOL! Siku zote nilikuwa najua Bubu Msema hovyo naye ni mwanaume kumbe sivyo!!! Ali mradi nilitanguliza samahani hakuna lililoharibika. Ahsante sana.
   
 9. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kaka naenda hiyo shule, lakini si unaelewa tena mambo ya kujisoapsoap kidogo. Ndo maana nataka angalao nijishughulishe kidogo angalao, nisijibweteshe sana lakini mwenzangu anakuwa mgumu kama kisiki na ahadi za uongo...ananikatisha tamaa, maana kama sie yeye wakunisaidia and especially huku ugenini nani mwingine! Na niongee naye vipi ili aelewe somo! Sasa kama hawezi kunisaidia mpaka nasaidiwa na wazazi wakati mimi ndo wakuwasaidia ipo maana gani ya kuwa pamoja? Hebu nisaidieni mwenzeni na mawazo.
   
 10. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2008
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  OF COURSE...Where else is she suppose to get money for maintenance na kadhalika. Either she goes to work Or he provides pocket money.

  my 2cents
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,692
  Trophy Points: 280
  Hongera sana kwa kuamua kwenda shule. Nakubaliana na wewe kabisa kwamba mumeo ana wajibu wa kuhakikisha unapata mahitaji yako muhimu ikiwa ni pamoja na vipodozi. Si ajabu mwanaume huyo huyo ambaye sasa hivi hakupi chochote ili kuutunza mwili wako akaanza kulkualamikia mwanamke mchafu na maneno chungu nzima ya kukukosesha raha na hata akakupa mifano mwangalie mke wa fulani siku zote anajitengeneza, kujipodoa hivyo kuonekana mzuri. Uko ugenini ni lazima ucheze karata zako vizuri ili usije kupata matatizo makubwa zaidi. Kuongea tu ndiyo suluhisho la tatito lako jaribu kutotumia lugha kali unavyomkumbusha mwenzio kuhusu mataji yako.
   
 12. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pocket money ni lazima hasa mama akiwa kweli ni mama wa nyumbani. Ninamaanisha akiwa hana shughuli ya kujipatia kipato. Kutakuwa na shughuli ya kujipatia kipato inategemea makubaliano ya mumue na mke. Kwani wapo wanume hawataki wake zao wafanye kazi. Hata mama akiwa anafanya kazi anstahili kupata fedha za matumizi ya kuendesha familia.
   
 13. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mjali mkeo
   
 14. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Teh! teh! tehhhhhh!!! usipomjali watu wanakusaidia balaa inaanzia hapo!!!
   
 15. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Nashukuru kwa kumtambulisha kamanda Bubu...
   
 16. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Asante sana BAK, nashukuru kwa michango yako mizuri kweli nimefurahi sana. Nitakaa naye chini nionge naye kwa utaratatibu, though am a high tempered person will try my best to cool down. Bcoz, when something has heart me I end up crying, and I donĀ“t want him to see my tears coz they are not deserved for him. I will see and again thanks so much.
   
 17. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sio siri mpaka naingiwa sasa na hivyo vishawishi lakini namuomba Mungu sana anisaidie.
   
 18. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2008
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  dada Penny sory to say but you sound nagging! For men to get your needs met never nag my dear, find specific times and learn to be patient. Maybe mambo naye kwake magumu na mwanaume hataadmit at first time. Mchukulie taratibu na mkumbushe akiwa stressfree, The point ya kukopa kwenu ungemtaarifu tu but for typical african men akijua unapewa hela kwenu itakuwa tabu.
  Yes Men are meant kuwasupport wake lakini dunia hii si kama ya jana mdogo wangu, zamani vipato bwerere but now ni opposite. Just be calm and talk it out.
  Good Luck.
   
 19. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Pole pole Penny, jaribu kwanza kuchukua hatua za kurekebisha mambo na huyo mumeo then uone itakuwa vipi. Unajua ukiamua kwenda kuonja nje nako ili kupata mbadala kuna tabu yake wengine ni mafundi sana utajikuta unatamani uhamie kabisa maana ukilinganisha na mumeo na hivyo anakuboa boa my friend you will end up in trouble!!!!
   
 20. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Thank you for your post, will work on it but am very patient my dear. Na kuhusu kukopa niliimtaarifu mapema and he just kept quite. Sorry to say this if u could have read my previous post "naomba msaada" ungenipata vizuri hapa. Anyway asante pia.
   
Loading...