Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,557 Reaction score 1,995 May 28, 2013 #1 Kama wewe ni Zee la Totoz, mida kama hii ukiwa kule FB uta-enjoy sana; yani ni mwendo wa ku-chat mwanzo mwisho! Sasa huku JF ni majanga matupu... Teh teh! PM zimenuna!
Kama wewe ni Zee la Totoz, mida kama hii ukiwa kule FB uta-enjoy sana; yani ni mwendo wa ku-chat mwanzo mwisho! Sasa huku JF ni majanga matupu... Teh teh! PM zimenuna!