Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

Mnalalamika hakuna wanaume waoaji, sasa mtaolewa vipi kama hamtaki kutongozwa.
 
umeona eeh.. alafu wengine wanakua washamba sana, sasa mwanamke umetongozwa inbox unakuja kututangazia huku ili iweje. as if ndio mara ya kwanza kutongozwa...
kweli man nimeanza kuamini hanawake hawaelewekagi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom