PM Majaliwa: Tumegundua Mtandao hatari wa Wezi wa Fedha za Umma kwenye kitengo cha Treasury Single Unit pale TAMISEMI!

Makelele bila vitendo, hata ripoti ya CAG alianika wizi mpaka leo mmeikalia tuu!.

Washenzi sana hawa. Wameona report ya CAG inakuja na madudu yale yale sasa wanajifanya kugundua. Kwa nini hawayafanyii kazi madudu yote yanayoibuliwa na CAG kila mwaka ..... maCCM ni LAANA kwa Taifa.
 
Akiwa mkoani Mara Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kuna Wizi mkubwa sana unafanywa na kakikundi ka Watu Wachache pale TAMISEMI wakishirikiana na Watendaji wa kwenye Halmashauri

Wezi hao tumewabaini na hatua zimeanza kuchukuliwa, amesema mh Majaliwa
hata hatuhitaji kuambiwa tumegundua, kutuambia sisi hivyo ni kutaka kupata credit toka kwetu kwa wajibu ulio wa kwako. tunachotakiwa kusikia ni kwamba watu wamekamatwa wapo lupango kesi inaendelea basi. tumewakabidhi nchi, watu wanaiba ninyi mpo halafu unakuja kulalamika kwetu kwamba mmegundua mnaibiwa? achia ngazi basi.
 
Akiwa mkoani Mara Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kuna Wizi mkubwa sana unafanywa na kakikundi ka Watu Wachache pale TAMISEMI wakishirikiana na Watendaji wa kwenye Halmashauri

Wezi hao tumewabaini na hatua zimeanza kuchukuliwa, amesema mh Majaliwa
Si hao hao waliosema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake?
 
Huko Tamisemi mbona wizi wa mali ya umma umetamalaki tangu enzi za Kikwete? ....Waziri Mkuu ndio anagundua leo pamoja na kuwahi kuwa TAMISEMI au ndio msimu wa uchaguzi unakaribia?

Huko nyuma hata dereva wa TAMISEMI alikuwa na mali na ukwasi wa kutisha. Kama woga wa kufisadi ulijitokeza enzi za Magufuli!!.... Baada ya kuruhusiwa kula kadiri ya urefu wa kamba, kila aliye na nafasi ya kupiga anaimba tu, Kazi iendelee.
 
Akiwa mkoani Mara Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kuna Wizi mkubwa sana unafanywa na kakikundi ka Watu Wachache pale TAMISEMI wakishirikiana na Watendaji wa kwenye Halmashauri

Wezi hao tumewabaini na hatua zimeanza kuchukuliwa, amesema mh Majaliwa
Aaghh wapi, sio kweli, attention seekers Tu hao
 
Akiwa mkoani Mara Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kuna Wizi mkubwa sana unafanywa na kakikundi ka Watu Wachache pale TAMISEMI wakishirikiana na Watendaji wa kwenye Halmashauri

Wezi hao tumewabaini na hatua zimeanza kuchukuliwa, amesema mh Majaliwa
Hadi Mkulu anagundua hilo, wapi Waziri mwenye dhamana ya hiyo Wizara na hatua gani alichukua kuhusu sakata hilo. CAG kalmba sana wimbo huu lakini wakulu wanakula kobosi Tu.
 
Akiwa mkoani Mara Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kuna Wizi mkubwa sana unafanywa na kakikundi ka Watu Wachache pale TAMISEMI wakishirikiana na Watendaji wa kwenye Halmashauri

Wezi hao tumewabaini na hatua zimeanza kuchukuliwa, amesema mh Majaliwa
Fedha zimekwisha Serikalini leo ndio umegundua?
 
Hii kauri ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake itaimaliza nchi.
Sasa hapa Changamoto inakuwa pale ambapo hako kamtandao watakuta kamewahusisha wakubwa! Hutasikia wakikamatwa!
Kaburi' ndiyo nini we Malaya!!..kauli,kauri ni vyombo vya udongo,shule mnafundishwa nini siku hizi ikiwa kuandika lugha yenu ni shida!?
 
Back
Top Bottom