Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
ndo maana naomba talaka
Kwani talaka hazijakutisha tu??
Unaachwa ila nashangaa bado unakomaa tu
Bishanga hakutaki mbona huelewi The secretary ?
Last edited by a moderator:
ndo maana naomba talaka
Hahahahaha!
Sister charminglady baba yetu watu8 na mama yetu measkron wakiona hii lazima ufukuzwe home !
kuna jamaa alikuwa anaitwa wakati ndio sasa ndugu yake Ruhazwe JR alikuja hivi hivi kama wewe baadae ikagundulika masharti ya mganga eti akionja mke wa mtu mambo yatakuwa bomba, sasa sijui kapotea wapi mara umeibuka wewe, sijui ni ugonjwa huu ama?
Kumbe ndo ulivo? ukiambiwa uanatangaza?
acha niendelee kuficha msg angu moyoni tu!!!!
mke wangu The secretary aliidaka hii pm akaniamuru niirushe hapa kama kweli nampenda,mimi ningefanyaje sasa?
naomba huyo evelyne salt akuchukue atakuwa kanisaidia sana