PM from charminglady to bishanga

We bibi oohoh samahani eti bib ni Babu jiheshimu mbona unazeeka ovyo sanaaa eeh
ndugu wapendwa,naomba ushauri,kwenye inbox yangu nimekuta hii PM:
ankali bishanga,shikamoo.
Mala baada ya saramu naomba nifunguke,kusema kweli ankali nimekuzimikia sana,achana hao wazushi kina @C6,kwanza bado wanavaa kaptura na ni masakapoko.Ankali sema utakacho nitakupa ili mradi niwe hawara yako.
Wako katika rindi la mahaba.
charminglady
nimjibuje wakuu ukizingatia mtoto mwenyewe yuko la saba mbuyuni praimari.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom