PM aoa na kuacha within 24 hours


misnomer

misnomer

Senior Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
198
Likes
15
Points
35
misnomer

misnomer

Senior Member
Joined Apr 13, 2011
198 15 35
1. Ni Morgan Tsvangirai wa Zimbabwe
2. Adai chanzo cha yeye kuingia mitini ni "kuingiliwa na vyombo vya usalama"

3. Akubali kutoa faini ya ng'ombe
4. Apata jiko jingine jipya
5. Aliyeachwa apata mshtuko, apata miscarriage
6. Aenda mahakamani kupinga ndoa mpya ya ex-hubby

Mke aliyeachika, Locardia Karimatsenga Tembo

Jiko jipya, Elizabeth Macheka

 
Jagarld

Jagarld

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
1,734
Likes
450
Points
180
Jagarld

Jagarld

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
1,734 450 180
Jamaa saivi ful kucheka tu,pole matembo jina lako limekuponza!
 
mwakaboko

mwakaboko

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
1,841
Likes
259
Points
180
mwakaboko

mwakaboko

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2010
1,841 259 180
jamani inasikitisha binti wa kingoni kaachwa hivi hivi!!!!
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,004
Likes
5,178
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,004 5,178 280
jiko jipya la ukweli sana
 
Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Messages
3,851
Likes
27
Points
145
Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2010
3,851 27 145
Jiko jipya limesimama nadhani ndilo lilitia fitna!:A S 41:
 
kyanaKyoMuhaya

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
1,953
Likes
30
Points
145
kyanaKyoMuhaya

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2012
1,953 30 145
Huyu mzee mateso ya MUGABE na kifo cha ghafla cha mkewe vimemuharibu akili.
na Hawa Mabinti wanafuata hela tu.
 

Forum statistics

Threads 1,214,132
Members 462,521
Posts 28,502,478