Suma mziwanda kageye
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 213
- 21
Nisaidien kwa m2 anayeijua vizur science general.all information.,application ana employment especially kwa aliyesoma EGM.
Nisaidien kwa m2 anayeijua vizur science general.all information.,application ana employment especially kwa aliyesoma EGM.
mkuu kwanza pole kwa maswaibu yote yaliyokukuta...pili hongera sana kwa kuchaguliwa hiyo program(japo sina hakika kama umechaguliwa au la)...mambo yako hivi....Nisaidien kwa m2 anayeijua vizur science general.all information.,application ana employment especially kwa aliyesoma EGM.
swali zuri sana....ila lazima ujue hamna progam ambayo hawafany fields...ila kwa case ya maths si lazima ufanye utafit(kwa maths unaweza fanya kaz kwenye ma bank,teaching, maswala ya statistics n.k)..na ujue kwamba nlisemea utafit kama tu utadil na chem,bios,phy,geog and the alike....Sasa kama mi nikichukua mathematics je ntafanya utafit gan?