Plz help about science general

Nisaidien kwa m2 anayeijua vizur science general.all information.,application ana employment especially kwa aliyesoma EGM.
mkuu kwanza pole kwa maswaibu yote yaliyokukuta...pili hongera sana kwa kuchaguliwa hiyo program(japo sina hakika kama umechaguliwa au la)...mambo yako hivi....
binafsi nlijazaga hiyo prog ila kutokaa na sababu flan flan japo zilikua za kijinga nkaitoa dakika za majeruhi....iyo program inatolewa ud kwa hapa bongo...kwa jinsi nnavyoijua ni kwamba utaenda specialize kwenye 2 field ambazo utatakiwa chagua hasa mwaka wa kwanza..probably ziltakua physics,geography,maths,statistics,bios,chem n.k,mwaka wa kwanza utachagua fields 2 kat ya hizo ila mwaka wa pili utaacha moja na kwendelea na moja...
kwa jinsi navyojua ni kwamba unaweza piga ishu za research mf. kuna kituo kimoja cha scientific research kipo tanga unaweza ajiriwa pia huko,unaweza kuwa ticha kama ukipenda...na sehem nyingine nying kadri utavyo specialize katika masomo...
kuhusu market kwa hapa tz lazima iwe na soko na ndio maana ikawekewa PRIORIT,na lazima ujue kuna uhaba wa wanascience hapa bongo so it must have a gud future...
CHAMSINGI JIPANGE FRESH KWA KUPIGA MSULI WA MAANA...NA TUJE KUJENGA NCHI YETU.... kwa mwenye mawazo tofaut anakaribishwa....nawasilisha....
 
Wengi waliosoma hiyo course ni walimu. Tegemea kuwa mwalimu wa either economics, geography au mathematics cha msingi kaza buti utoke na GPA kali ili upate ufadhili wa chuo kusoma masters ambapo itakuwezesha kirahisi kupata kazi katika vyuo vya utafiti.
 
Sasa kama mi nikichukua mathematics je ntafanya utafit gan?
swali zuri sana....ila lazima ujue hamna progam ambayo hawafany fields...ila kwa case ya maths si lazima ufanye utafit(kwa maths unaweza fanya kaz kwenye ma bank,teaching, maswala ya statistics n.k)..na ujue kwamba nlisemea utafit kama tu utadil na chem,bios,phy,geog and the alike....
 
Dogo huyo first yr hajui kitu na hawez kukushauri. Hiyo coz ipo Conas, ni coz ya ualimu 90%. Ukisoma hi utakuwa mwalimu. Au either upate GPA kubwa kati ya 4 na kuendelea ni mziki, ukpfm vizur unaweza kubakishwa kufundisha chuo. Ila asilimia 96 ya watu wa coz hi ni wanaenda ualimu . Huu ndo ukweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom