Model mwenye umbo size kubwa anatafutwa haraka.
Sifa
- awe mrefu wa wastani
- awe na tumbo la wastani.
- Size kuanzia 20 kuendelea.
Atume picha yake akiwa amevalia nguo ambazo tutaweza kuona size ya mwili wake vizuri. (anaweza kuficha sura yake) atume na namba za simu kwenye email hapa chini.