Plugged in not charging!!!!!!!!!

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
101
Nina laptop hp 620,ilikuwa haina shida kabisa,bt lately,nikiwa nacharge betry inacharge mpaka 90%, halafu haiendelei kucharge, inaandika plugged in not charging,rating ya umeme iko ok,nimejaribu adaptor nyingine pia tatizo liko pale pale.help pleez!
 
angalia uwezo wa battrey maana battery ikichoka ndo matatizo yake yanakuwa hivyo ila ngoja tuwasikie na wengine
 
Nina laptop hp 620,ilikuwa haina shida kabisa,bt lately,nikiwa nacharge betry inacharge mpaka 90%, halafu haiendelei kucharge, inaandika plugged in not charging,rating ya umeme iko ok,nimejaribu adaptor nyingine pia tatizo liko pale pale.help pleez!

Nilikuwa napata tatizo kama hili kwenye laptop yangu ya Dell, uzuri ni kwamba nimei register kwenye support ya Dell na nilipoingia kutafuta support nikaikuta na nili download ka software kakutatatua hilo tatizo. Si tatizo kubwa na lina tatulika kiurahisi. Sijui support za HP zikoje lakini natumai nazo ni nzuri. Nakushauri ingia kwenye website ya support ya HP utatatuwa tatizo lako.
 
mkubwa hiyo kitu battery ndo inaelekea kufa ivo we jaribu kuchukua betri nyingine weka utaona kama hilo tatizo lipo. Mara nying ikiianza ivo mwisho wake huwa kufa kwa betri kabisa.
 
Nilikuwa napata tatizo kama hili kwenye laptop yangu ya Dell, uzuri ni kwamba nimei register kwenye support ya Dell na nilipoingia kutafuta support nikaikuta na nili download ka software kakutatatua hilo tatizo. Si tatizo kubwa na lina tatulika kiurahisi. Sijui support za HP zikoje lakini natumai nazo ni nzuri. Nakushauri ingia kwenye website ya support ya HP utatatuwa tatizo lako.

Asante ngoja nijaribu kuangalia kwenye forums za hp
 
huwa kuna wakati hili tatizo linapotea lenyewe,kwa muda, ila safari hii ndio limejitokeza muda mrefu.
 
Power supply cable yako ulishawahi kuibadilisha? Ninatumia HP kuna siku nilitumia cable tofauti nikapata ujumbe huo ila niliporudishia cable yake original ika charge kama kawaida.
 
sijawah kubadili,labda kama kuna mtu kanibadilishia,ngoja nijaribu original nyingine.
 
duh,betry ndo imeamua kukata mawasiliano kabisa,i guess it time to get a new one!.
 
Mimi kwenye Dell core i7 ilinifanyia hivyo na nikadownload kutoka support ya Dell ka program kadogo kaku "tweak" bios. Na ikawa safi kabisa.

Njia nyingine ya kufanya ni kuingia kwenye support ya HP na kuwaandikia email tatizo lako, nna uhakika watakusaidia. Uzuri wa Dell kwenye site yao kuna sehemu ya ku "diagnos" na baada ya ku run hizo diagnosis inakuambia kama kuna tatizo na inkuambia solution, na hata kama ni battery ndio tatizo inakujulisha kuwa ni battery.

Pole sana, nakushauri waandikie email HP support.
 
Problem with this is there are multiple solutions, heres one that i used to fix a laptop a while ago.

>Disconnect AC
>Shutdown
>Remove battery
>Connect AC
>Startup
>In Device Manager, Under the Batteries category, right-click all of the Microsoft ACPI Compliant Control Method Battery listings, and select Uninstall (it's ok if you only have 1).
>Shutdown
>Disconnect AC
>Insert battery
>Connect AC
>Startup
 
Back
Top Bottom