...pls say something..!

Naona dada aliye vaa Sketi na viatu vyeusi anamchungulia yule ya buibui nyeusi, inter-alia, yule wa rangi mbili anadai posho, to wit.
 
Hao wanakaguliwa,si unajua watoto wa mama mdogo hawachelewi kujilipua?
 
Huyo dada aliyevaa suruali wowowo lake linavutia sana si kubwa sana kama la mchina halafu hakupigwa pasi kama mdosi halafu ana bastola za nguvu hao maninja walioshindilia manguo watajiju
 
ponda anaanza kupata umaarufu kuliko michael jackson...aaaagggghhhhhh
 
Usishangae kukuta huyo mwenye baibui jeusi akawa na kwato
 
Huyo dada aliyevaa suruali wowowo lake linavutia sana si kubwa sana kama la mchina halafu hakupigwa pasi kama mdosi halafu ana bastola za nguvu hao maninja walioshindilia manguo watajiju

Mbona binti kashika bastola kizembe hivyo. Huyo atakuwa ni m-bongo tu.
 
Hii kitu nimeikuta Nairobi juzi aisee...
YAni kila mahali unapoingia kwenye jengo unakaguliwa! sad sad sad...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…