Ploti Zinauzwa Moshono Arusha.

Dar Express

Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
46
Reaction score
4
Kwa mahitaji ya viwanja ktk kata ya moshono visivyo na mgogoro,maeneo yanayopitika,wasiliana nami.

0764271322

Maeneo yaliyopo miongoni mwa yanayouzwa ni miguu 25 kwa 14 kwa mil 15,miguu 28 kwa 24 kwa mil 33 Kijenge Suye,
Na miguu 25 kwa 12 mil 7.
 
Mi nina milion moja nataka kiwanja at least 15×15 maeneo ya kwa morombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…