Wadau kuna plots mbili zilizofuatana zinauzwa,
zipo BUNJU block 6,
ukubwa: kimoja kina 1400sqm na kingine 1250sqm
bei ni milioni 50 kila kimoja.
dalali hahitajiki,
mkuu bei ndo hiyo na haipungui hata buku, plots zimekaa pa zuri, anayenunua itabidi afikirie kujenga gorofa kama vipi coz hizo plots zimezungukwa na vitofa vya ukweli, hakuna nyumba ya chini hata moja.