Plot Salalsala Inauzwa

Plot Salalsala Inauzwa

deny_all

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
431
Reaction score
30
Plot ipo Salasala ina ukubwa kama sqm 2060 hivi inauzwa kwa bei ya 45 millioni.
 
Plot ipo Salasala ina ukubwa kama sqm 2060 hivi inauzwa kwa bei ya 45 millioni.

Hivi hawa watu wanaoleta matangazo madogo madogo humu JF wataelimika lini jamani?????

Yaani unasoma tangazo unaachwa na maswali kumi kidogo!!!!

1.0 Salasala ipo wapi????
2.0 Kiwanja hicho kimepimwa au kina hati. Je kilishawahi kuuzwa kabla ya tangazo hili???
3.0 Kipo wapi toka hapo Salasala.
4.0 Vipi kuhusu mambo kam umeme, na huduma za jamii katika eneo kiwanja kilipo???
.......

Halafu hizi bei sasa kama wote ni mafisadi ila kwa hilo la (bei natania tu.)
 
aiseeee babaangu salasala ipi unamanisha salasala ya tabora,salasala ya mbeya,salasala iringa au salasala kwa babu mbezi au ni kule kwa kina godizila
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom