Plot inauzwa mtwara mjini

Mzani

Member
Nov 12, 2010
80
5
Salaam Wanajamii

Soko la viwanja Mtwara linakua kwa kasi ya ajabu

Kuna plot inauzwa iko Mtwara Mjini, Mtaa wa Kilimahewa

Wasifa wa Eneo
Plot ipo mita 500 kutoka kwenye mikoko/ufukweni mwa baharini
Plot inaukubwa wa zaidi ya square mita 2300 (zaidi ya nusu eka)
Sehemu kubwa ya mtaa huo haijajengwa yaani ni mashamba na mapori
Sehemu yote imepimwa na wamiliki wana hati zao
Bei ni Tsh. 15M
Wahi kabla bei hazija panda sana.

Kwa maelezo zaidi piaga no. 0784 707789
 
Hakuna gesi hapo? Mwaka 2010 beach plot Mtwara ilikuwa 45M, miaka miwili baadaye ishuke hadi 15 mkuu kuna walakini hapo.
 
Wanajamii hii siyo beach plot ni mesema ipo mita 500 kama nusu kilomita kutoka kwenye mikoko, hiki kiwanja kipo kwenye mwinuko kiasi kwamba sehemu ya bahari unaiyo kwa mbali.Kwa mtu ambae hajawai kufika mtwara au kuyaona maeneo ya kilimahewa ni vigumu kuelewa.

Kiwanja kipo sokoni kama mtu anania ya kununua au kufahamu zaidi, fanya mawasiliano kukiona kiwanja ni bure hakuna gharama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom