Mvaa Tai, mkuu umeuza au bado?
Wadau mwenzenu nina shida ya fedha ya haraka nimepungukiwa kama Million nne, nipo Dar nimeamua kuuza Plot yangu fasta, Ipo Dodoma ni kiwanja cha mradi kilitolewa na CDA katika mradi wa April 2006, nilinunua kwa mtu Mwaka 2008 na kupata hati miliki kwa jina langu March 2009. Ni eneo lililokwisha endelea kwani Tayari kuna mitaa ya watu wanaishi, nimekilipia kodi ya ardhi mpaka mwaka wa fedha 2013/14.
Ukubwa wa kiwanja ni Sq Metre 631. Kipo Chidachi West, block 'F' ni walkable distance kutoka St John University, Bei ni Tshs Million 4.1 Hatimiliki ninayo hapa Dar sitaki dalali, kwa mnunuzi wa kweli ani-PM ili utaratibu wa kukiona ufanyike akiridhika tufanye biashara, kwa aliye Dodoma nitamuelekeza akakione mwenyewe kwani ni rahisi kufika nikimpa namba ya Kiwanja, akiridhika anistue.
....... na hata kodi ya kulipia kiwanja imepandishwa yaani kila sqm1 KODI NI Tshs50. wakati ilikuwa flati rate bila kujali ukubwa wa eneo ilikuwa ni total Tshs9000
kweli pesa ngumu, mie nakitaman sana sema basi tu.
Wadau mwenzenu nina shida ya fedha ya haraka nimepungukiwa kama Million nne, nipo Dar nimeamua kuuza Plot yangu fasta, Ipo Dodoma ni kiwanja cha mradi kilitolewa na CDA katika mradi wa April 2006, nilinunua kwa mtu Mwaka 2008 na kupata hati miliki kwa jina langu March 2009. Ni eneo lililokwisha endelea kwani Tayari kuna mitaa ya watu wanaishi, nimekilipia kodi ya ardhi mpaka mwaka wa fedha 2013/14.
Ukubwa wa kiwanja ni Sq Metre 631. Kipo Chidachi West, block 'F' ni walkable distance kutoka St John University, Bei ni Tshs Million 4.1 Hatimiliki ninayo hapa Dar sitaki dalali, kwa mnunuzi wa kweli ani-PM ili utaratibu wa kukiona ufanyike akiridhika tufanye biashara, kwa aliye Dodoma nitamuelekeza akakione mwenyewe kwani ni rahisi kufika nikimpa namba ya Kiwanja, akiridhika anistue.
Weka namba ya simu bana
jamani ndugu zangu mimi mwenyewe nina plot naiuza ipo dodoma,nkuhungu karibu na shule ya sekondari mnadani,bei ni m6 anayehitaji atanilipa kwa enstallment 3.PM yako ni ya muhimu nina shida kubwa sana kiwanja kina Hati!
Yaani hii inanipa picha kwamba mawe yamekaa vibaya sana kwasasa, unajua nilipoleta Tangazo hapa na kujidai kwamba sitaki hata dalali nilijua kufikia saa sita mchana nitakuwa nishapata mtu kwasababu bei ninayouzia ipo chini sana ukifaninisha na bei za viwanja vilivyopimwa kwa maeneo yale Ambayo tayari kuna mitaa watu wanaishi. Any way ngoja nitafute means nyingine, ila nimechoka sana