Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,074
- 1,564
Habari wakuu matajiri.
Kiwanja kinauzwa milion 13 kipo kinyerezi mtaa wa dkt joseph kutoka kinyererezi hadi kwenye kiwanja ni bajaji moja ambayo ni 500 kutoka stendi ya bajaji adi eneo la kiwanja kwa pikipiki ni buku, kama una gari binafsi inafika hadi kwenye kiwanja na kwa mguu ni mwendo wa dakika 10 tu.
Kiwanja kina muondo wa pembe tatu, hivyo basi kiwanja kwa upande wa chini kina m 21, upande wa kulia m 34,upande wa kushoto m 24 na upande wa juu m 4. 16
kiwanja kinahuduma zote ukiwemo umeme, maji, masoko, barabara, usafiri masaa 24 hadi majirani wapo wengi maana ni sehemu ya mji
kiwanja hakipo bondeni kipo juu sehemu ambao atakuwe na mvua vipi haitaleta matatizo.
Hati ni serikali ya mtaa