Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,213
- 45,881
Safi sana watu wanapambana sana.😄 juzi kati nmeambiwa kuna dada tu kanunua eneo obay ,bongoyo usd 4.5
Watu mzee pesa ipo
Ova
Safi sana watu wanapambana sana.😄 juzi kati nmeambiwa kuna dada tu kanunua eneo obay ,bongoyo usd 4.5
Watu mzee pesa ipo
Ova
Zaidi ya kupambanaSafi sana watu wanapambana sana.
Watu wanahonga kiwanja na nyumba Obay mkuu taarifa ya CAG kama haifanyiwi kazi wafanyeje..Zaidi ya kupambana
Kuna watu wako kwenye mfereji 😄
Ova
Watu wananunua lakini, .... haipiti wiki huo uwanja unaweza ukauzwa hata kwa hela zaidi ya hiyo!Yan bongo viwanja vina bei kuzidi hata New York 😁