Plot for sale in Upanga Dar es Salaam

Plot for sale in Upanga Dar es Salaam

Nadhani ni lazima nyumba iwe imevunjwa. Kinyume cha hapo ngoja tusubiri.

Kama ni kwa nyumba ya kuishi tu bado ni ghali, labda iwe ni kwa ajili ya kujenga jengo la kufanyia biashara.
Maeneo haya ni kwa ajili ya biashara nk ila kama una hela kidogo Viwanja vya kujenga Nyumba tunavyo Goba Mita 25 kwa 25 bei 10m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine tunakusaidia uweke maelezo mengi ili ijulikane ni kwa nini kinauzwa kwa shilingi bilioni moja!!
Mkuu kila eneo Lina wateja wake kwahyo nadhani wanayoyajua hayo maeneo tunaweza kuongea lugha moja mkuu.usiumize kichwa sana kujilazimisha kuelewa na wakat huwezi kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukulasa ~ Ukurasa, kuandika hujui sembuse kujua exchange rate?
 
Mkuu unataka ufafanuzi wa bei au wa eneo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tusing'oane heshima bure. Ukiwa dalali na unaleta tangazo kwenye hadhara kama hii usiwe mbishi ama mfichaji wa taarifa ya unachokiuza. Kama kiwanja hicho ni kwa ajili ya watu maalum ungewatafuta huko waliko kuliko kuleta tangazo lako hapa kwenye hii hadhara.
 
Viwanja vikubwa kama hivyo ukiona vyatangazwa na madalali jua haviuziki

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu tunachoomba kuwekewa ni wenyewe JF wameweka masharti kuwa ni vizuri kuwekwa. Upanga kwa uelewa wangu ni ngumu sana kuwa na kiwanja ambacho kwa miaka yote hiyo hakijajengwa chochote kile. Ni lazima ilikuwepo nyumba ikavunjwa kama picha ya dalali inavoonesha. Eneo linaonekana lilikuwa linatayarishwa kwa ujenzi na ndiyo maana limechinbwa. Jee aliyetaka kujenga kilimtokea nini?

Hata kama tunaonekana siyo wateja watarajiwa (Potential buyers) lakini kwa kuwa tangazo hata sisi tumeliona basi ni haki yetu kupewa taarifa za kutosha kuhusu kinachouzwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom