Plot 2 luguruni sheli

Plot 2 luguruni sheli

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Nauza plot mbili, eneo zilipo unaingilia luguruni sheli. Ziko pembeni mwa barabara hiyo ya ndani, si mbali na main road. Zinafikika vema na gari na umeme upo. Tuwasiliane mutensa@live.com au ni-pm kwa details.
 
zina ukubwa gani? bei yake ikoje?
 
zina ukubwa gani? bei yake ikoje?

Ukubwa: 22mx22m

Bei: 15Mil kwa kila moja, maongezi kidogo yapo.

Pia zinaungana hivyo ukizihitaji zote kwa pamoja pia inawezekana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom