Epicauta elbovitata
Senior Member
- Mar 19, 2012
- 143
- 19
Angalia hizi screenshot. kama utahitaji ku_download sema nikuwekee direct download link, file size ni 5.7Gb. KARIBUHabari zenu wakubwa..
Personally, katika soccer games nimeplay fifa tuu n i lov it na sijawah kuzipenda previous PES games wala kuzicheza kwa sababu sikupenda graphics zake n gameplay...
Lakini hii PES14 naona inapata sifa na i read online kuwa imeizid FIFA14 graphics so ningependa kujua expirienc yake...
Mim nipo DAR so please mwenye nayo naomba anisaidie...
NB:Im not looking forward to buy it, just sharing one gamer to another..
Angalia hizi screenshot. kama utahitaji ku_download sema nikuwekee direct download link, file size ni 5.7Gb. KARIBU
Habari zenu wakubwa..

weka link mkuu, na ya gta 5 (pc) kama ishatoka
- gta 5 kwa pc! sijaipata bado
Nipo Dar maeneo ya Kigamboni. Nitafute nikupatie PES 2014.