CHOVELA
Member
- Jan 24, 2011
- 37
- 6
Wadau natumia Blackberry 8520 na nimekuwa nikitumia app ya Jamii Forum kwa muda mrefu bila matatizo yeyote ila ni kama wiki sasa inagoma kabisa, nimejaribu kuitoa na kuidownload tena lakini mambo ni yaleyale. Lakini niki-log in kwa kupitia kwenye Computer kunakuwa hakuna tatizo lolote. Please kwa anaefahamu ufumbuzi wa hili naomba anisaidie maana naona kama napitwa na mengi.