NJIA YA KWANZA
Kwenye pc install FOXIT reader [ hii ni PDF reader kama ilivyo kwa adobe reader]
Foxit reader ita_install PDf PRINTER ambapo utaweza kubadile kazi yeyote iliyo katika Word, excell, Publisher etl na kuwa pdf.
Unachotakiwa kufanya ni:
1. Fungua kazi yako
2. Bofya CTRL + P kisha chagua PDF printer
3. Chagua mahal pa kuhifadhi hiyo pdf yako
4. Click Print DONE utakuwa umepata pdf file toka kwenye kazi yako
NJIA YA PILI
Iwapo una latest version ya MS office, Mfano MS office 2016 - Haihitajiki software yeyote ili kutengeneza PDF
Unachotakiwa kufanya ni
1. Fungua kazi yako
2. Click FILE > EXPORT > PDF/ XPS Document
3. Chagua mahala utakapoweka file lako
NJIA YA TATU
- Tumia PDFSAM iwapo njia ya kwanza na ya pili haikizi mahitaji.
- Download hapa: PDF Split And Merge