Nimevutiwa na JF kwa namna inavyoleta changamoto pamoja na ushirikiano wa members katika kulitatua tatizo mara linapotokea katika jamii.Huo ndiyo uzalendo.
Ahsanteni