hivi hii safari si Zuma kalipia au? Manake si yeye ndiyo kamwalika?
Jamani msishanage yaani hali ni mbaya sana maana ni bora tuanze hata kuona hizi safari za mkuu wetu zisitishwe kwanza tuongezee hela tununue mtambo huo wa Megawatts 100. Kulala giza usiku mzima na watoto wadogo utafikiri tupo Jehanam inakera sana tena sana.
Sasa hivi mwanangu wa miaka 2 umeme ukikatika tu anaanza kulia -- baba memeeee, baba memeeee - inauma sana hii kitu. Baba yake na mi nguvu ya kununua generator sina basi kero tupu.
Mwenzio kijenereta ninacho issue ni mafutahivi hii safari si Zuma kalipia au? Manake si yeye ndiyo kamwalika?
Jamani msishanage yaani hali ni mbaya sana maana ni bora tuanze hata kuona hizi safari za mkuu wetu zisitishwe kwanza tuongezee hela tununue mtambo huo wa Megawatts 100. Kulala giza usiku mzima na watoto wadogo utafikiri tupo Jehanam inakera sana tena sana.
Sasa hivi mwanangu wa miaka 2 umeme ukikatika tu anaanza kulia -- baba memeeee, baba memeeee - inauma sana hii kitu. Baba yake na mi nguvu ya kununua generator sina basi kero tupu.
ne
jaribu kumpigia simu hawawezi kusoma ujumbe wako wapo busy......
Aende wapi? Na tanzania ni yetu sote pamoja na yeye? Na kwa wakati yeye ndie rais wa JMT!!!Anza ww kwenda ugaibuniIts painfully clear to me. We either break free from this system completely or we embrace it completely and become vampires and drink the blood of our people like Kikwete and the CCM! this sh**t is depressing. I WANT HIM OUT! we gotta SNI now PLEASE!!! We dont want you anymoreKIKWETE GO WITH PEACE AND LEAVE OUR COUNTRY ALONE
Aende wapi? Na tanzania ni yetu sote pamoja na yeye? Na kwa wakati yeye ndie rais wa JMT!!!Anza ww kwenda ugaibuni
acha ujinga ww, kijijini kwenu kuna umeme au ww wakati unazaliwa ulikuta umeme kwenu au unataka kujiproud hapa...funzeni watoto wenu mazingira yote ili wazoe...wote 2nashida ya umeme hakuna asie jua hilo......Mkuu Fuso hapo kwenye nyekundu hata mwanangu mwaka mmoja miezi nane nae umeme ukikatika anasema hivyo hivyo umeme umeme !
mwambie slaa aongoze nchi ndie unae mtaka...kikwete yupo pale kikatiba sasa huo umbumbumbu ulio nao unadhan jk atakuletea maendeleo kwako...pole utaendelea kulaumu mpaka unakufa...tafakari kisha chukua hatua mwana...aargh asirudi abaki huko huko tu sioni lolote tunalofaidika na huyu mtalii.