Nimefanikwa kwa kuiacha hii simu aina ya Android bila battery kwa muda wa siku mbili halafu nika iunganisha kwenye pc kwa kutumia USB bila betri nikaiacha simu imalize manjonjo yake hadi mwisho nika pachika betri nika subbiri km dk15 baada ya hapo nika chomeka charger nika hakikisha imejaa n.b hizi sim aina ya Android ni km computer kwani android ni operating system ambayo inafanya kazi kwa kutumia touch screen hata hivyo ikizima kuna hatua mbalimabali ambazo unaweza kuzifanya na hii lazima ujue namna ya kutumia software kwani km unataka ku flash ni lazima ufanye kitu kinacho itwa rooting n.k Hizi simu aina ya Android zina Rom ambazo kwa wale wanatumia simu aina hizi huwa wanasikia mtikisiko ukizima ama kuwasha pia katika matumizi ni somo refu kuhusu Android reapir