Please help: Inferiority complex | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please help: Inferiority complex

Discussion in 'JF Doctor' started by Infantry Soldier, Oct 12, 2012.

 1. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Mimi ni kijana niliyehitimu elimu ya chuo kwa miaka kadhaa iliyopita. Kwa ukweli nimekuwa nikiishi maisha unyonge wa hali ya juu sana kutokana na background ya maisha ya familia niliyokulia. Kwa kweli tumekulia maisha ya hali ya chini mno! Ukinunuliwa nguo moja leo ndio mpaka ipite miaka mitatu ndio upate nyingine. Ukienda shule haupewi hela ya matumizi hata senti tano. Na hii ilipelekea mpaka kuanza kujisikia mpweke na kuanza kuishi maisha ya peke yangu kwa kuwa wenzangu walikuwa wanatoka familia bora na kupata at least mahitaji yao muhimu kwa kiwango kizuri kabisa. Nikawa nafikiri kama rafiki zangu na jamii inayonizunguka huwa inatucheka kwa ufukara tulionao mpaka ikapelekea kupoteza mahusiano mema na rafiki zangu wa jinsi zote za kike na kiume na hili tatizo limeacha kovu kubwa sana ndani ya akili yangu, naombeni msaada ndugu zangu! Asanteni.
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  wengi wawatanzania tumepitia huko ndugu yangu lakini nafikiri ni mambo yakusahau tu ila nakushauri kama umefanikiwa kimaisha wasaidie familia yko nao wasiwe na kovu kama lako mkuu.nakumbuka sisi hata kumwona mgeni ilikuwa nadra sana hawaendi kwa maskini.ganga yajayo duniani tunapita tu njia ni ile ile
   
 3. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu fanya kazi kwa bidii sana, kama ni shule soma kwa bidii sana na pia mwombe Mungu kwa yote na mwisho huo ufukara utaisha tu maana 90% ya watu wote wamepita hukohuko.
   
 4. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Nivea@Thanks for that, it's encouraging. Lakini unapokuwa unapitia haya mambo mtu unaona kana kwamba upo peke yako. Thanks again.
   
 5. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Isuto@ Thanks buddy for your encouragement!
   
 6. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  work harder,pray and sometimes tafuta muda wa kujichanganya na watu na kujihusisha na michezo
  ur mind will be as free as the sky
   
 7. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  COURTESY@ Thanks too kamanda wangu!
   
 8. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Ilifika wakati hata afya yangu ikaanza kudhoofu, kichwa kinauma na mawazo mengi kama mtu mzima kwa wakati ule nikiwa mdogo. Hopefully i shall make it well. Thanks guys.
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  unapopitia mambo kama hayo jua kuna wengine wako nyuma yako 1km ya umaskini ,umaskini mbaya sana
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,976
  Likes Received: 1,871
  Trophy Points: 280
  Labda nianze kwa kusema hivi usikubali daima nguvu ya kushindwa ikusemezeshe tena mara tu utakapomaliza kusoma post hii.

  siku zote hofu ni adui wa binadamu na panapo hofu huwez hata kupata ujasiri wa kusimama mbele zawatu wengine na kuwaangalia na hata kupita mbele za watu.

  uzuri wa maisha hata kama umekula leo ugali na deshi ukisimama hapo hakuna mtu atakaye jua ama hutakuwa tofauti na yule aliyekula ugali na kuku kwani wote mtakua mmeshiba. kwenye maisha uliish staili gani ya maisha ya kijijini leo hii hayana mashiko ingawa yatakufundisha tu ila hakuna anayeyaona manake hayajaandikwa usoni.

  mie ninae andika hapa pengine nimekulia maisha ya dhiki kuliko hayo unayosema na leo hii natamba na kujiita gwiji la jiji kama huamini uliza wanajamvi......... nimekulia kijiji life kuskunti mwanzo mwisho tunakunywa chai kaanga na pondaponda lakin leo hii tuko utasema tulikulia masaki.

  uzuri bana Mungu anajua hakuna hewa tofauti anayopumulia aliyekulia kwenye dhiki na anayopumulia aliyekuwa tajiri pia hakuna vitu ambavyo hivi vimetengenezwa kwa ajili ya matajiri tu ila bidii yako ndo itakusaidia kuvipata. sikiliza bro ukitaka kumiliki kiwanja city centre karibu na manji unaweza na ukitaka unapata wala haitaambia huyu kwakua alikuwa maskini basi asiuziwe hapana.

  je toka umekuja dar ama chuon ulishawak kwenda dukan ukaambiwa hiki hatukuuzii kwasababu ulitoka kwenye familia ya dhiki? naamin hakuna basi achana na hayo mawazo. ili uondokane nayo fanya hivi
  • ona kwamba maisha yako fair kwa ila mtu
  • jipende sana tu na penda hali uliyo nayo and work hard
  • pendelea kutoka na marafiki wa aina tofauti hata unakunywa kahawa tu inatosha ila itakupa confo.
  • penda kusikilza wenzio wanapoongea na kama hukijui kitu nyamaza uwe msikilizaji tu ili kukwepa kuzodolewa.
  • jijengee mazoea ya kusoma vitabu hasa novels, kuangalia tv kwenda cinema ili mradi uwe upto date basi
  jua kabbisa kwamba kinachokusumbua wewe ni huko kujihisi uko nyuma hujui mambo mengi kisa ulilelewa kilage but unaweza kabisa kujiweka up to date kwa movies na news na vitabu. usije skia wenzio wakisema shwazniga ukasema ni dawa but unaweza kugoogle na kumjua hauyu shwazniga alikuwa mtu gani na anaafanya nini.

  ondoa hofu jiweke up to date kila kitu kitaisha.
   
 11. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  gfsonwin@Thanks again and again. Kweli hakuna duka masikini akafukuzwa then tajiri akawa served. Even barabara wote tuna-share hizo hizo. Asante sana.
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,976
  Likes Received: 1,871
  Trophy Points: 280
  sasa from now badilika kabisa tena uta fikra zako za kuwa eti kwetu hali ni duni lol! cheka basi na nakukaribisha kwenye kijiwe tupige story sasa tatizo limeisha hahahhhah......................nani kanuna!!!!!
   
 13. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  teh teh teh teh......it's very funny and educational!
   
 14. r

  royna JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  tafuta kitabu kinaitwa The Power of Positive Thinking na The Power of Positive living vya Norman Peale, vitakusaidia pia.
   
 15. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  royna@Okey thanks, i will try looking around the shops. Lakini kuna articles nime browse humu kwenye internet, they are helpful as well. Thanks again.
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kati ya watanzania 10 basi 8 au 9 wamepitia hyo hali yako so sio issue sana pambanaaa tu haina haja ya kujifeel mnyongeee just built this city my hommie.

  ¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤
  "Built This City"-The Diplomats

  We built this city, we built this city
  We built this city, we built this city on rock

  We built this city
  (On these blocks we hustle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (Turn bricks to whips)
  We built this city on rock and roll
  (On rock)

  We built this city
  (In the midst of the struggle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (From bottom to top)
  We built this city
  (Through the agony and pain, diplomatic will reign)

  Ay yo, my dipset Taliban
  We on these streets like the wars on them streets of Afghanistan
  Better yet of Pakistan to America, Harlem's our cater
  Any problems I spray her that can startle the mayor

  But in this 50-block radius let's get the rock and shave the shit
  Or get the glock and blaze the shit
  Bitches get the cock and savor it
  They say Jim Jones the capo my favorite

  'Cause some of this shit my city wasn't built up over
  Drugs and money, some shit you get killed up over
  Slumped on your wheel, straight tilt it over
  Trust me dogs, I seen it in peril, niggaz wasted and painted
  And seen on the mural
  (That's Harlem)

  In this apple of mine is rhyme, clap up your shines
  Pop shots that will crack up your minds
  And cop rocks and cook that crack up to dimes
  New York City, the capital of crime

  We built this city
  (On these blocks we hustle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (Turn bricks to whips)
  We built this city on rock and roll
  (On rock)

  We built this city
  (In the midst of the struggle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (From bottom to top)
  We built this city
  (Through the agony and pain, diplomatic will reign)

  We built this city
  (On these blocks we hustle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (Turn bricks to whips)
  We built this city on rock and roll
  (On rock)

  We built this city
  (In the midst of the struggle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (From bottom to top)
  We built this city
  (Through the agony and pain, diplomatic will reign)

  Now once again it's Santana the Great
  I built this city on hammers and weight
  Gasoline, rope, bandannas and tape
  Lots of fiends, lots of coke being handed away

  You know, the usual
  Shut 'em down, set up show, how we usually do
  Cut 'em down, hit the block man, we moving through
  Diplomats is the strongest force

  On and off the court we ballers more than sports
  We built this city from ground zero
  To spitting the pound zero, brown pistol
  At ya get down kicka, yeah, this is from the ground up nigga

  So get your weight and your pounds up nigga
  'Cause when it's beef my homies mound up quicker
  Fit the pound much quicker, lay you down much quicker
  You never been approached by Golden Eagles
  Vultures that will scope and feed you, no court just leave you
  Shit you know

  We built this city
  (On these blocks we hustle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (Turn bricks to whips)
  We built this city on rock and roll
  (On rock)

  We built this city
  (In the midst of the struggle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (From bottom to top)
  We built this city
  (Through the agony and pain, diplomatic will reign)

  We built this city
  (On these blocks we hustle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (Turn bricks to whips)
  We built this city on rock and roll
  (On rock)

  We built this city
  (In the midst of the struggle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (From bottom to top)
  We built this city
  (Through the agony and pain, diplomatic will reign)

  It's like what I wouldn't do for a buck
  My enemies can't rest in peace Jones, you see they funerals up
  New gangstas in the city bitch, ring the alarm
  All y'all hoes bow down, kiss the ring of a don

  It's about to get real big playa, humongous
  Stacked money so long 'til it grew fungus
  We was gon' let you live 'til you threw punches
  Now we got to get critical and we got to get rid of you

  And we the most talked about, the most popular
  We live by the codes, we the Dipset mafia
  You never know who's watching ya
  You never know who's plotting to pop at ya

  We focused like a pair of binoculars
  I'm 'bout to get gritty
  M-5 CLK's garage look like Alphabet City
  And I'm a hustler, I put cracks in communities

  Cops can't touch me, got Diplomatic Immunity
  Now try I'm guaranteed a million shipped in scam
  If not, back to the block, ship some grams

  If not, get with Cam, I got clips to lift a van, flip a van
  Shit, they can kick the can
  This cat think he sling 'cause he got a pinky ring
  Rinky-dink diamonds, they don't even make your pinky bling

  (We built this city)
  And now I'm about to kill this city
  (We built this city)
  Cradle to 50, yeah I'm acting real seditty

  (We built this city)
  'Cause I collect mils and fifties
  For real it's pretty and y'all gonna feel the pity
  (We built this city on rock)
  Dipset Bitch

  We built this city
  (On these blocks we hustle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (Turn bricks to whips)
  We built this city on rock and roll
  (On rock)

  We built this city
  (In the midst of the struggle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (From bottom to top)
  We built this city
  (Through the agony and pain, diplomatic will reign)

  We built this city
  (On these blocks we hustle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (Turn bricks to whips)
  We built this city on rock and roll
  (On rock)

  We built this city
  (In the midst of the struggle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (From bottom to top)
  We built this city
  (Through the agony and pain, diplomatic will reign)

  We built this city
  (On these blocks we hustle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (Turn bricks to whips)
  We built this city on rock and roll
  (On rock)

  We built this city
  (In the midst of the struggle)
  We built this city on rock
  (On rock)
  We built this city
  (From bottom to top)
  We built this city
  (Through the agony and pain, diplomatic will reign)
   
 17. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mungu ni mwema angekuwa ameweka kioo kwenye tumbo la mwanadamu wengi tungeaibika maana wakati mwingine umeshindia bisi lakini umeshiba hakuna anayejua. Hakuna ajuaye kwa kina yaliyokusibu utotoni, ni Mungu mwenyewe tu. Cha msingi umeshaambiwa kumbuka wengine wasaidie wasije athirika kama wewe.
   
 18. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  King Kong III@Whose track is that king kong? Anyway music can sometimes help chasing away some bad spirits of loneliness and steer up much happiness. Thanks king.
   
 19. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2,053
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Yaaap it's True homie!
   
 20. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  usikate tamaa ndugu, kila mara jione kama mtu amabaye mungu kakufanya uwe wa pekee sana, fanya kazi zako kwa bidii na zaidi kuwa mtu wa msaada kwa wenye kuhitaji huwa inakuwa faraja sana kujitoa kwa wengine na zaidi mungu atakupigania
   
Loading...