Please Girls, is this true?

INAENDELEA KUTOKA JUU!

Tukaondokaa na kuendelea na mishe zingine. Sis ananiuliza bado? Nampooza kuna progress. Kwenda tea party haikuwa tena option bali lazima. Nikamzoa mdau wangu, basi kwenda pale ukaanza mjadala kama nimepiga simu ama la! Nikasema simu sipigi, sijapiga wala sitopiga. Zikaanza risala za mgeni rasmi, hotuba etc kuwa nijishushe. Nikagoma it is just not right. A girl gotta have prinviples. The greatest failure is failing one self. Tea party ikaisha M.M sikujua na referal sikupata nikawa nimekata tamaa kabisaa.

Siku sina hili wala lile mdada mmoja wa kule kanipia simu nataka kukuona! Makubwaa! Nikasema ngoja nikamsikize bt niwe makini nisije kusagwa bure mjini hapa, mwanamke mwenzio anakuzoea kipompi pompi unakubali kirahisi tu. Weeeeee! Basi yale mdada akajifanya ana ni councel nijishushe nikawa sasa nimewchokaa nimewachokaaa!

Nikamkatalia. Akaniambi bwana mimi ni M.M usipompigia utaniharibia biashara. Mmmmh! Umati wote ule unategemea nitaku convice. Tobaaaaaaa!

INAENDELEA.
 
Kwani imekuaje tena mwendelezo umehamia huku eti lara1
 
Last edited by a moderator:

Your right doctor
 
nimependa aliposema safari yaweza kuwa nzuri kuliko hata kufika kwenyewe...nafurahia kampeni kwa sasa sijui mabadiliko yasipotokea itakuwaje!!

Hata yasipotokea "ingawa sio rahisi", cha moto mtakuwa mmekiona, in the next five years hamtafanya upuuzi upuuzi kwenye mambo ya msingi kama mlivyozoe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…