uuufff...uuuuufff...aisee hoi hapa....huwezi kudharau amrisho la wazee....ndo narudi toka kucheki hayo maeneo..kote tandale, keko, buguruni hamna kitu....nimekagua mpaka vitabu vya wageni..naambiwa katoka sasaivi!

Orait Orait...Yawezekana atakuwa kaishia msituni, kwenye machaka yasiyoendekeza kuandika majina kwenye vitabu vya wageni... Yule kijana huwa anahitaji nafasi tu ili a do the needful!
Anaweza kutoroka ila tutaangalia njia mbadala ya kumfanya amalize kifungo kabisa labda kumpelekea al-batar, hivi kimey hajaenda usalule kweli umeenda kumuangalia huko