MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
- Thread starter
-
- #41
Mwanamke anayependwa na babu:
1. Awe mzuri wa sura (babu ana kaugonjwa ka kupenda sura...makalio, miguu et el ni added advantage)
2. Awe muwazi na mkweli (Akiwa mwongo, babu naye ni mwongo sana, na mwongo anamjua mwongo mwenzie.....hatutawezana)
3. Asiwe afisa mpelelezi (kila saa vimeseji/kupigiwa simu kuulizwa uko wapi..... unarudi saa ngapi...unafanya nini agggrrrrr)
4.Awe na heshima (aheshimu maamuzi yangu, awaheshimu watu wengine, asiwe na dharau)
5. Awe msafi (wa mwili na wa baioloji yake na vyote viizungukayo baiolojia yake, ajue kujiremba na kuvaa vizuri)
6. Awe na kipato au mwelekeo wa kujua kutafuta kibao...(Babu ana aleji ya kupigwa mizinga)
7. Asiwe mvivu kitandani.... Napohitaji anipe, anapohitaji asiogope kuniambia.
Akiwa na vyooote hivi, babu anatulia naye. Akitoka nje itakuwa ni kwa ajili ya tamaa za kawaida za kimwili za wanaume na si vinginevyo.
Babu anarudi kitandani kumalizia usingizi wake na bibi yenu.
big baza odm, yaani mimi babu wa wajukuu naamini katika zaburi: Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, binadamu ni nani hata umwangalie? Wewe mungu bwana wetu, jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote!
Big Baza ODM, yaani mimi Babu wa wajukuu naamini katika zaburi: Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, binadamu ni nani hata umwangalie? Wewe Mungu Bwana wetu, jinsi lilivyo tukufu Jina lako Duniani kote!
Dah babu aksante
Hapo kwenye namba tatu hapo?? Babu hapooooo................. asiwe mpelelezi yaani dah kusema ukweli huwa ni pagumu sana kutekelezeka. Yaani we utoke kazini uende sehemu kushikana mkono na washkaji .....ukichelewa bibi asikupigie simu??
Lakini tuweni wakweli jamani hivi mnadhanigi wanawake wanawapigiaga simu au kuwasumbua bure?? kuna sababu zinazowafanya wafanye hiyo na moja wapo ni upendo.
1. Ukichelewa kurudi nitakupigia na kukusumbua kwa kuwa -nakumiss
2. Nitakusumbua kwa kuwa - Nina wivu na mpenzi wangu (Nahofia asijedakwa na mapapa mji)
3. nitakusumbua kwa kuwa ninataka kujua usalama wako.............
4. Nitakusumbua kwa sababu tu nina hamu na wewe na sauti yako na kila kitu chako jamani!!
kwanza tunapowasumbua ni njia mojawapo ya kuwaonyesha kuwa tunawajali!
Una kifua cha chuma aisee....! Bravo, by the way I like the one who can tell me my weaknesses straight .....! Hata kama sijamfikisha anakotaka, let me know before she revenge....! Nitamuheshimu sana yule ambaye hayupo kushindana nami; mfano kama nimeteleza, basi naye ateleze...nikasirike, naye akasirike....! bali anikalishe chini na kutafuta tatizo ni nini.... Kwa hali kama hii, kila nitakapokuwa nalekea kufanya kitu, nafsi hunisuta na kujikuta nikisitisha mara moja.... this is a very strong lock that I can't unlock without her concern....! Hata akitongozwa na rafiki yangu wa karibu aseme mapema....! Asiwe na siri yoyote baina yangu na yeye...! Bali aelewe siri yetu baina yetu na wengine....! Hata kama mfano akiwa shuleni, na mwalimu wake akamtaka kimapenzi ili amuoneshe mtihani, aniambie... hata kama amepewa uwaziri kwa masharti fulani, lakini nipate taarifa mapema kupitia kwake na sio kungwineko....! Just to mention few...!
dah,kweli "Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"................
Kweli kabisa kaka mdogo.... yaani: Kama unadhani aibu ni gharama jaribu fedheha
Kweli kabisa kiongozi, ndio maana NYUKI hapigwi BUSU........................
na ndio maana mimi teamo TI-Mfalme Wa Amani NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU"
Big Baza ODM, yaani mimi Babu wa wajukuu naamini katika zaburi: Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, binadamu ni nani hata umwangalie? Wewe Mungu Bwana wetu, jinsi lilivyo tukufu Jina lako Duniani kote!
amen!!!!!!!!!!
ha ha ha ha!.....
ASEMA BWANA MUNGU WA MAJESHI......!
ha ha ha ha!.....
ASEMA BWANA MUNGU WA MAJESHI......!
.............. Mnaweza mkafafanua haya katika context ya hii thread??
Binafsi nakubaliana sana na huu usumbufu,
na hasa kutokana na sababu za kimsingi ulizozibainisha,
Tatizo ni namna gani mnavyo excute huo usumbufu,
kwakweli kuna usumbufu mwingine hauna uvumIlivu kabisa ila ni kero tu!!!!!!!
Kila dakika, kila sekunde kama vile mmetongozana juzi tu!!!!!!NO................
Kupiga simu siyo vibaya MJ1 ila tatizo ni kwamba saa nyingine inakuwa too much. Hebu fikiria mtu anakupigia simu kama mara kumi hivi kuanzia asubuhi hadi jioni, huo kama sio usumbufu ni nini. Halafu saa nyingine unaweza kuwa umemwambia kabisa nikitoka ofisini nitapita sehemu naweza kuchelewa lakini bado maswali kibao aaaaaaaaarrgh yaani huwa inaboa sana mkuu.Dah babu aksante
Hapo kwenye namba tatu hapo?? Babu hapooooo................. asiwe mpelelezi yaani dah kusema ukweli huwa ni pagumu sana kutekelezeka. Yaani we utoke kazini uende sehemu kushikana mkono na washkaji .....ukichelewa bibi asikupigie simu??
Lakini tuweni wakweli jamani hivi mnadhanigi wanawake wanawapigiaga simu au kuwasumbua bure?? kuna sababu zinazowafanya wafanye hiyo na moja wapo ni upendo.
1. Ukichelewa kurudi nitakupigia na kukusumbua kwa kuwa -nakumiss
2. Nitakusumbua kwa kuwa - Nina wivu na mpenzi wangu (Nahofia asijedakwa na mapapa mji)
3. nitakusumbua kwa kuwa ninataka kujua usalama wako.............
4. Nitakusumbua kwa sababu tu nina hamu na wewe na sauti yako na kila kitu chako jamani!!
kwanza tunapowasumbua ni njia mojawapo ya kuwaonyesha kuwa tunawajali!
Aisee kumbe ulishamaliza hapa, nakuunga miguu yote mkuu, saa nyingini inakuwa kero kubwa aaaaaaaarrgh.Binafsi nakubaliana sana na huu usumbufu,
na hasa kutokana na sababu za kimsingi ulizozibainisha,
Tatizo ni namna gani mnavyo excute huo usumbufu,
kwakweli kuna usumbufu mwingine hauna uvumIlivu kabisa ila ni kero tu!!!!!!!
Kila dakika, kila sekunde kama vile mmetongozana juzi tu!!!!!!NO................
Owky Da Womanizer nina imani ujumbe huu tumeupata na tutaufanyia kazi. Hii ninaihesabu kama moja ya vitu ambavyo pengine wanawake wengi tumekuwa na mtizamo tofauti na wanaume. Na bahati mbaya sana (kwa wale tulioko ndani ya ndoa) mume anapoanza kukusema kwa ajili ya kumsumbua na simu zako huwa tunakimbilia kuquestion why ananizuia, kuna mabaya gani anafanya, mbona anajihami au kwani mi si ni mkewe nina haki ya kumpigia na kumwulize yuko wapi so asinipangie............na hapo ndipo ushindani unapoanza na kusababisha mengine.Kupiga simu siyo vibaya MJ1 ila tatizo ni kwamba saa nyingine inakuwa too much. Hebu fikiria mtu anakupigia simu kama mara kumi hivi kuanzia asubuhi hadi jioni, huo kama sio usumbufu ni nini. Halafu saa nyingine unaweza kuwa umemwambia kabisa nikitoka ofisini nitapita sehemu naweza kuchelewa lakini bado maswali kibao aaaaaaaaarrgh yaani huwa inaboa sana mkuu.
Dah babu aksante
Hapo kwenye namba tatu hapo?? Babu hapooooo................. asiwe mpelelezi yaani dah kusema ukweli huwa ni pagumu sana kutekelezeka. Yaani we utoke kazini uende sehemu kushikana mkono na washkaji .....ukichelewa bibi asikupigie simu??
Lakini tuweni wakweli jamani hivi mnadhanigi wanawake wanawapigiaga simu au kuwasumbua bure?? kuna sababu zinazowafanya wafanye hiyo na moja wapo ni upendo.
1. Ukichelewa kurudi nitakupigia na kukusumbua kwa kuwa -nakumiss
2. Nitakusumbua kwa kuwa - Nina wivu na mpenzi wangu (Nahofia asijedakwa na mapapa mji)
3. nitakusumbua kwa kuwa ninataka kujua usalama wako.............
4. Nitakusumbua kwa sababu tu nina hamu na wewe na sauti yako na kila kitu chako jamani!!
kwanza tunapowasumbua ni njia mojawapo ya kuwaonyesha kuwa tunawajali!
Shikamoo babuMwanamke anayependwa na babu:
1. Awe mzuri wa sura (babu ana kaugonjwa ka kupenda sura...makalio, miguu et el ni added advantage)
2. Awe muwazi na mkweli (Akiwa mwongo, babu naye ni mwongo sana, na mwongo anamjua mwongo mwenzie.....hatutawezana)
3. Asiwe afisa mpelelezi (kila saa vimeseji/kupigiwa simu kuulizwa uko wapi..... unarudi saa ngapi...unafanya nini agggrrrrr)
4.Awe na heshima (aheshimu maamuzi yangu, awaheshimu watu wengine, asiwe na dharau)
5. Awe msafi (wa mwili na wa baioloji yake na vyote viizungukayo baiolojia yake, ajue kujiremba na kuvaa vizuri)
6. Awe na kipato au mwelekeo wa kujua kutafuta kibao...(Babu ana aleji ya kupigwa mizinga)
7. Asiwe mvivu kitandani.... Napohitaji anipe, anapohitaji asiogope kuniambia.
Akiwa na vyooote hivi, babu anatulia naye. Akitoka nje itakuwa ni kwa ajili ya tamaa za kawaida za kimwili za wanaume na si vinginevyo.
Babu anarudi kitandani kumalizia usingizi wake na bibi yenu.
Shikamoo babu
Hii list imetulia kweli
Lakini mmhhh
BE.....swali linauliza ambacho ungependa kwa galfriend/mchumba au mkeo...........sio viruka njia!!
Okay so issue hapa si upelelezi ................bali namna tunavyoexecute upelelezi wetu eh?! but bacha wengine huwa hamueleweki! na hasa ukimkuta ambaye yeye skirt haikatishi mbele ya macho yake ikasalimika..........mwenye mume wa hivi ni lazima atakuwa na shaka kila ukichelewa yeye atahisi unashughulisha na kusigina haki yake.
nilishawahimshuhudia dada mmoja wamekwenda kazini asubuhi na mumewe, dada yeye ndie anayeanza kufika ofcn kisha mume anaendelea na safari ya mjini. Kufika ofcn kwa mdada, mume anamwambia wife niachie gari (alikuwa anaendesha dada) nitakupitia jioni kwa kuwa leo nitawahi kurudi, mdada likamtoka nikuachie gari yangu ukapakize viruka njia vyako huko (alitumia neno kali kidogo) .......!
Kwa mdada kama huyu ni wazi alishaumwa na nyoka so mawazo yake yameshachakachuliwa na uhaba wa imani tena so kukupigia simu, kukumonitor kwake itakuwa ni sehemu ya maisha yake bacha.
So sometimes hizi sumbufu kama mnazoziita huwa mnazicreate nyie kwa kuweka mazingira condusive................
Nipigie simu nikiwa baa nakunywa uniambie chakula tayari: Sawa kabisa
Nipigie kama nimechelewa kurudi toka kazini: Safi sana
Nipigie kunijulia hali kama nilikuwa na afya mgogoro: Maridadi kabisa
Umenipigia nikakuambia mamito nsharudi niko hapa KingStaa na Teamo Ti tunapata bia
Dakika tano unapiga tena......uko na Teamo kweli? Dakika tano tena......utarudi saa ngapi......dakika tano tena....mbona huji.......dakika tano tena...njoo ule......dakika tano tena........uko na malaya zako........dakika tano tena...mi nalala.......dakika tano tena.....jamani nakusubiri tule....dakika tano tena....siku hizi hunipendi....dakika tano tena.......khaaaaa!
Hata kama ni kupenda sasa hii ni kero:
SIPENDI MWANAMKE MSUMBUFU ASIYENIAMINI
Afu we mjukuu mtiifu, we umetuuliza tukuambie tunachokihitaji toka kwa mwanamke, ili mtufanyie.... Tunakuambia halafu unatuchalenji. Kwahiyo unataka tufuate unachokitaka wewe? Kwanini umetuuliza sasa, si ungetushauri unachotaka tuwafanyie?...... Mwone kwanza
ha ha ha!
sababu ingine ya kuhamia KIBIRA
Babu nimeguna sababuMarahaba kajukuu..... mi nahitaji ufafanuzi wa hapo kwenye red.... umeguna au?