Please CHADEMA, walk the talk.

Please CHADEMA, walk the talk.

Mlipiga kelele sana na tukawasikia na kukubali hoja zenu kuhusu vikao kuwa live.

Mlijenga hoja mkisema wananchi wanatakiwa kuona na kusikia kinachoendelea kwenye vikao kwa sababu wamewatuma kwenda kufanya maamuzi muhimu.

Mkasema kwenye masuala muhimu ya kitaifa, pesa(gharama) isiwe kikwazo katika maamuzi ya kuonyesha live.

Two month down the lane, mmeitisha vikao vya kitaifa ambavyo ni muhimu lakini cha kushangaza mmeshindwa kuyaishi maneno na madai yenu ya kuonyesha vikao live achilia mbali kuiona demokrasia ikitamalaki ndani ya vikao.

Huu ulikuwa ni muda wa kuionyesha serikali na wananchi wengine kuwa you walk the talk.

If you want people to take a note, you must be one also live by example.


Huu ni muda wa kuyaishi madai yenu!
LOGIC
 
Muambie kwanza Nape haya maneno wananchi wanataka kuona bunge live kwa kuwa TBC inaendeshwa kwa kodi yao na wabunge wako bungeni kwa kura zao. Bunge live kwa manufaa ya nchi.
Wananchi wameikabidhi hazina kwa serikali ili matumizi yake yaendane na vipaumbele vya taifa.

Vipaumbele ni pamoja na kuchanganua ni kaya ngapi zina Television nchini na katika kaya zenye television, ni watu wangapi huwa vinaangalia bunge live.

Kama CHADEMA wamefikia hitimisho la kutokuonyesha live mkutano wao wa kumchagua Katibu Mkuu na kumtambulisha kwa Watanzania, kwa nini udhani kwa serikali iwe tofauti.
 
Back
Top Bottom