Mkuu hizi cd unauza?
Nani Kuna mtaalam wa kuhack ps3 Ili icheze game from HDD
Ps3 yako ni aina gani?
Hiyo inawezekana, cha msingi tafuta hizi apps google; rogero multiman halafu just google how to jailbreak ps3 slim utapata data zote na utawezafanya mwenyewe ila kama unajisikia kutoa hela me nipo ntakusaidia.Ps3 slim Ile toleo la pili
Hivi nyie wakubwa wazima mnaadithiana magame.??
wakuu, mi nipo ancient maana bado nina ps2, naombeni kwa anayemjua fundi mkali na mzoefu wa kutengeneza ps2, maana ps2 yangu inafanya kaz kama kawaida ila ikitumiwa saana kama masaa 3 mfululizo inajizima halaf haitaki tena kuwaka hadi baada ya masaa kadhaa, nafikiri hadi ipoe ndio inawaka tena. msaada tafadhali na nipo dar
sina ps2 ila kwa knowledge ya pc huwenda feni limekufa na cpu inapata moto hadi kujizima. inakataa kuwaka hadi cpu ipoe.
jaribu kuiekea feni la nje kwa karibu ili uone atleast kama itaongeza huo muda wa kujizima
Nenda kariakoo mtaa wa kongo palewakuu, mi nipo ancient maana bado nina ps2, naombeni kwa anayemjua fundi mkali na mzoefu wa kutengeneza ps2, maana ps2 yangu inafanya kaz kama kawaida ila ikitumiwa saana kama masaa 3 mfululizo inajizima halaf haitaki tena kuwaka hadi baada ya masaa kadhaa, nafikiri hadi ipoe ndio inawaka tena. msaada tafadhali na nipo dar
kama amekuwa akitumia hiyo PS3 then likelihood ya kuwepo 3.55 na kushuka ngumu sana. na kama hana mazoea ya jailbreak utampoteza tu maana 3.56 na kupanda anahitaji dongle + soldering uzoefu. kuna vitu vya kumwambia mtu afanye na google, lakini sio kama hikiHiyo inawezekana, cha msingi tafuta hizi apps google; rogero multiman halafu just google how to jailbreak ps3 slim utapata data zote na utawezafanya mwenyewe ila kama unajisikia kutoa hela me nipo ntakusaidia
Inategemea na utundu wa mtu katika electronics binafsi vitu vingi najifunza mwenyewe thru gugo na utube, na ndio maana nimemwambia akishindwa anitafute au hata wewe pia anaweza akakucheck umsaidiekama amekuwa akitumia hiyo PS3 then likelihood ya kuwepo 3.55 na kushuka ngumu sana. na kama hana mazoea ya jailbreak utampoteza tu maana 3.56 na kupanda anahitaji dongle + soldering uzoefu. kuna vitu vya kumwambia mtu afanye na google, lakini sio kama hiki