Habari zenu nyote, nimekuja nikiomba kuuliza kwa hapa TANZANIA hasa DAR ES SALAAM ni wapi wanauza Playstation 4 na games zake pia.
natanguliza shukrani.
Ikiwa utanishauri niagize toka ebay/amazon basi nitashukushukuru sana ukinielekeza jinsi ya kuagiza kufanya malipo mpaka mzigo kunifikia.