heshima kwenu wakuu,kutokana na gharama za juu za ps 3cd games mwana jf mwenzenu nashindwa kumudu kununua cd game nyingi,niengependa kujuzwa wapi naweza nikapata cd za ps 3 za bei rahisi hata kama ni za kuchakachua basi fresh tu ilimradi zicheze kwenye ps 3,lakini pia kama kuna mtu ana jua ni jinsi gani naweza nikuburn hizo cd pia ningependa kujuzwa,nina internet ya kutosha naweza kudownload game la ukubwa wowote,nimejaribu kuburn kama kama magame ma 3 yote yanakataa kucheza nahisi kuna kitu nakosea,naomba kuwasilisha,thanks in advance!!!!