ICT_student_TZ
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 392
- 181
150k keshiiHabari zenu wadau..
Kuna PS3 game ambayo ni used inauzwa... iko full packaged na ina padi zake mbili wireless..
Imetumika kwa muda wa miezI 6 tu tangu kununuliwa mpya kutoka dukani..View attachment 1003954View attachment 1003955 yenywe bado mpya kabisa kwan nilikuwa naitumia mm mwenyew for fun tu na si biashara.
.Bei maelewano...
Bei ipo kwenye post juu hapo nime edit.
Hiyo jau kaka unauwa160k nakupa mkuu
Nakuja pm tuyajenge vizur
Bei hiyo unauwa sana kaka
205000 NJOO UCHUKUEwadau mzigo badio upo
Hiyo 250 au 205 ?205000 NJOO UCHUKUE
205,000Hiyo 250 au 205 ?
Hiyo jau blaza205,000
220 jau bro.. Fanya 230Tatizo unakataa bei kijana