Play Station 3

Play Station 3

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
19,703
Reaction score
37,953
Habari zenu, Kuna bwana mdogo aliniagiza play station 3, control 2, na possible cartridge kama 3. Ila nimerudi naona kaingia mtini. Kama kuna mtu anaitaji anijulishe. Inatumia between 110v to 240 so it is plug and play, siitaji maana nilinunua na ya mtoto wangu pia. Ilinicost kama $220 hivi, but laki 5 ni sawa mtu akinipa maana sijui hata yauzwa bei gani huku.

Alternative kama kuna mtu ana smart phone nzuri naweza kubadili naye. Maana wamenichapa ka Smart phone kangu juzi jumapili kwenye ibada. Kama interested you can please inbox me and we will take it from there!
 
Njoo inbox tuongee
 
Duu! Wamepinda kweli hata kwenye ibada wanakula, msikitini au kanisani? Sawa mi nna Huawei y300, unasemaje?
 
Nimekucheki inbox text inakataa kutuma. Nicheki now kwa 0684 929294 tumalize biashara.
 
Hivi mtu anaweka uzi wa biashara....then mteja anatokea kuonesha interest....lakini hakuna any response kutoka upande wa pili...hii tuiite biashara ama kidali pooo..... Tangu asubuhi nimejaribu kufanya mawasiliano na huyu ndugi bila kufua dafu
 
Back
Top Bottom