ICT_student_TZ JF-Expert Member Joined Jun 27, 2018 Posts 392 Reaction score 181 May 15, 2019 #1 Habari zenu wadau.. Kuna PS3 game ambayo ni used inauzwa... iko full packaged na ina padi zake mbili wireless.. Imetumika kwa muda wa miezI 6 tu tangu kununuliwa mpya kutoka dukani.. yenywe bado mpya kabisa kwan nilikuwa naitumia mwenyewe na sio biashara.. Haijachipiwa. Bei Tsh 250,000 Nipo Dar
Habari zenu wadau.. Kuna PS3 game ambayo ni used inauzwa... iko full packaged na ina padi zake mbili wireless.. Imetumika kwa muda wa miezI 6 tu tangu kununuliwa mpya kutoka dukani.. yenywe bado mpya kabisa kwan nilikuwa naitumia mwenyewe na sio biashara.. Haijachipiwa. Bei Tsh 250,000 Nipo Dar
M mfobi Senior Member Joined Aug 10, 2012 Posts 105 Reaction score 78 May 16, 2019 #2 Mkuu model ngap 2000,3000,4000,phat ntumie pcha
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,787 May 16, 2019 #3 Mawasiliano yapo wapi? ps toleo gani?
ICT_student_TZ JF-Expert Member Joined Jun 27, 2018 Posts 392 Reaction score 181 May 19, 2019 Thread starter #5 Nimeambatanisha picha hapo
ICT_student_TZ JF-Expert Member Joined Jun 27, 2018 Posts 392 Reaction score 181 May 19, 2019 Thread starter #6 mjingamimi said: Mawasiliano yapo wapi? ps toleo gani? Click to expand... Phat hiyo