Tarehe 5 August mwaka huu mkali toka Nigeria fireboy DML kashusha album yake ya tatu ikiwa ni kali sana.
Humo ndani kawashirikisha wakali wafuatao
*Chris Brown
*Ed sheeran
*Shanseea
*Euro
*Asake.
Ngoma nilizozielewa huko ndani ni
1.Ashawo
2. Glory
3.Havin Fun
4.Bandana
5. Diana.