Play Any Video Format in Windows Media Player.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Play Any Video Format in Windows Media Player....

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tindikalikali, Jun 8, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa na hili tatizo na nimeweza kulitatua leo...nawe unaweza kupitia kama una hilo tatizo

  Kwanza download [ K-Lite Codec Pack 8.8.0 BASIC ]

  Halafu fuata maelekezo ya kuinstall HAPA
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu MBONA ZIKO NYINGI SANA KUNA BASIC NA ZINGINE FULL SASA TUCHAGUE IPI???
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  chukua basic..haina shida
   
 4. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  One downside of WMP is it doesn't support subtitles as easily as VLC!!
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  mimi wmp yangu inaplay codec karibia zote jaribu kui update yako kwanza kabla ya kudownload 3rd party.
   
 6. leh

  leh JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kwanini usitumie third party app? ni light faster na zina codecs zote
  (links hizo)
  VLC

  MpcStar
   
 7. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  vlc the best!
   
 8. P

  Prof. Engineer Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  update plugin. by the way VLC is supa
   
 9. Mathematician

  Mathematician JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2009
  Messages: 326
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
 10. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  VLC inaplay almost every codec, ina option ya equalizers za ukweli sana,unaweza kufanya replay au kuloop wimbo na kuchukua screen shot ya video.

  MpcStar ina mwonekano mzuri nayo inaplay almost every codec na inauwezo wa ku resume video tofauti na VLC na WMP.

  WMP imekaa kienyeji sana na inasumbua kuplay baadhi ya codec.

  Lakini sijawahi kuona VLC inadisplay subtitles vizuri mara zote inakuwa inazimega na kuziweka kulia zikiwa nusu nusu. MpcStar sijawahi kuona hata nusu ya subtitle kabisa, inaplay only video files. Lakini WMP kwa subtitle hapo ndio uwanja wake wa nyumbani.

  So, inategemea interest ya mtu. Kwa ushauri wangu, kama pc iko fresh ni bora kuwa nazo zote maana kila moja ina uzuri na mapungufu yake.
   
Loading...