Plato and ‘the republic’ tunakosea wapi?

Plato and ‘the republic’ tunakosea wapi?

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
11,960
Reaction score
11,221
Philosophical arguments za kitabu cha Plato ‘the republic’ kimechangia sana civil services duniani kutengeneza watu sahihi na umuhimu wao kwenye kuongoza nchi indirectly.

Tanzania inafuata hizo philosophy kwenye succession planning ya ascendency ya civil services. Kutoka kwenye work floor hadi kufika wizarani.

Mfano Dr Gorothy Gwajima ni mtu wa kutengenezwa on merit alipotoka hospitali mpaka kufika kuwa mkurugenzi wizara ya afya. Ukimsikiliza unamuona ni technocrat wa afya aliepikwa.

However she is not unique nimewahi kumsikiliza mtaalamu wa maswala ya mitaala ya elimu akidadavua ukuaji wa uchumi sambamba na degree za kuandaa as the national develop kutokana fursa za watu kuchukua kila hatua na opportunities za uchumi zilizokuwepo kwa muda wao. Aina ya watu hawa awaandaliwi kama mapambo lengo lake ni kufikia kuwa makatibu wakuu wa wizara na kuongoza nchi indirectly kwa kuwa control wanasiasa (that’s another story) something tells hawa technocrats wapo wengi and idol kutokana na siasa zetu.

Nimewahi pia kumsikiliza mkurugenzi wa madini akiielezea investment ya hiyo sector ufahamu wake nikajiuliza sasa mbona ukushauri kabla watu awajaingia kwenye mikataba ya ovyo na ACCACIA na sasa Twiga.

Dr Muhongo ni mbobezi wa geology pia alipoletwa na J.K alipigana sana kuleta sheria za dharura zitumike kama framework ya mkataba akatukanwa sana but he was right, sasa hivi kawa mtu wa ovyo kaacha kusimamia ukweli na kuongea ujinga wa siasa.

Kuna kitu akiko sawa hii nchi kuna watu humu wanachochea upotoshaji ningekuwa mimi afisa usalama mtu kama BAK naweza kukwambia he is compromised au Max Melo kwa sasa ni team mafisadi; afisa usalama rule number one trust no one.

That is to say TISS is a weak institution and easily influenced.

Things have to change in Tanzania if people are serious
 
you right bro something is not right somwhere wanasiasa wanaweza wakapeleka nchi hii shimoni kabisa ...hawasilikizi ipasavyo ushauri wa wataalamu wabobezi. Can U imagine mikataba ya gas 57TRILION CUBIC FEET, Tumeambulia 10% SHARE tuu kupitia shirika letu la TPDC, hii ndiyo winwin situation investment tunayohubiri? Ukiangalia GDP growth itambiwa mining industry imechangia kiasi kikubwa wakati wamiliki wa migodi hii Western powers. All we get ni revenues, royality na hiyo 16% stake
 
Back
Top Bottom