devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 266
- 372
Ndugu wanaJF, Mim ni mwalimu nilipata shida ya dharura mwaka 2014 nikakopa mkopo wa chap chap hapa Platnum lakini mwisho wa kulipa ulikuwa ni mwaka 2019. Nashangaa hadi leo wananikata deni, nimejaribu kufuatilia ofisi zao makao makuu hakuna msaada nataka niwashitaki
Hata hivyo ningeshauri hawa Bayport na Platnum wakaguliwe ni matapeli wanaongezea watu madeni ya ajabu na hata ukitaka kusitisha mkopo hawakubali ni wasumbufu.
PLATNUM NA BAYPORT siyo bank za kukopa ni matapeli bora ufe na njaa kuliko hawa wazandiki. Wafutiwe leseni matapeli wakubwa hawa.