Platnum Member K Matata....

Eehehheheheee kila la kheri, kuna members wa huko watakueleza namna ya kujiunga. Kwa ukubwa nilionao kiumri, hilo jukwaa nikiingia naona ntazidi kuzeeka, na nnavyopenda Mahaba sasa,napambana na kuukemea uzee eehehehehe.
Platinum Members oyeeeeee....eehehehehee.

Matata K.
Hili Jukwaa halipo silioni kabisa mwaka wa kumi huu nipo huku wakati nimetamani kuingia likafutwa!!
 
We ni don. Kontaun.


Aahahahhaaaa hii akili ya Kasie bana, ujue nini.... Nilikuwa nahangaika kusoma ulichoandika, akili inasoma kiingereza na inashindwa kutafsiri nini kimemaanishwa. Kumbe umeandika kiswahili fashihi kabisa aahahahhahahaaa

Ati mie ni Don, hapana banaa, basi tuu Mahaba yamekubali.
Matata K.
 
Kasie kuna ka mihadarati unatumiaga.

Uongo?

Aahahahahhahaaaa Karuuuu eehehehheheheeee
Wajua majina yetu wote yanaanzia na K, hivyo kuna vitu tunashabihiana au kufanana aahahahhahaaa

Usiseme hayo mambo banaa koo litaniwasha jumatatu hii, aliyekuwa ananisaplaia mihadarati aka bange siku hizi ameokoka, sijapata push mpya.

Hii ni akili ya bange za kipindi kile, si wanasemaga mvuto mmoja aka one puff stays in brain for seven years....

Am high in vain for this Platinum thing, Yaani kama nimevaa medali flani hiviii aahahahahhaa

Matata K.
 
Aahahahahahhaaaa watuuu stop being shaggy and it wasn't me banaa, ehehehehehheeee
Do you know what I asked about...??
Hahahah....mi nilikuwa najua topic hii...ile nyingine achana nayo si ishaisha kule kule Kasie?
 
Hahahah....mi nilikuwa najua topic hii...ile nyingine achana nayo si ishaisha kule kule Kasie?


Aahahahahhaaaa imeishajeee, mi nnavopenda ma scenes hivii, sasa mbona imeisha kimya kimya.

Umeniacha solembaa.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom