kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,815
- 2,639
Mkuu inamaana shida haijawai kukupata eee.Hizi kampuni ni za kuogopa sana zina magumashi mengi ila watu wanashindwa kuzikwepa kwa kuwa wanatoa mkopo kwa muda mfupi sana bila milolongo mingi.
Tatizo linakuja kwenye mifumo ya ulipaji mikopo riba kubwa sana na ukitaka umalize deni haraka ili upunguze hawataki.
Hizi kampuni kwa sasa zinaitwa NYONYA DAMU....
Nchi hii ni mgumu SanaMkuu Ni mbaya sana kukimbilia kucoment bila kusoma na kuelewa hoja,hebu soma hoja kwa umakini then ulinganishe na ulichoandika hapa
Je ulitambua kabla ya kuchukua fedha yao?Hawa jamaa wana riba kubwa sana yaani fikiria hiyo laki sita niliyokopa inatakiwa nilipe milioni tatu kwa muda wa miaka nane
Sio polisi, Nenda mahakamani.Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri na mwongozo nifanye nini ili nipate balance yangu niwalipe nimalizane nao, kuna muda nawaza niende polisi maybe nitapata msaada.
Wasenge hao kila sku walikuwa wananipigia et nikachukue mkopo Kwa dhamana ya Kadi ya gari , kuna mdada yaani kila mara ananipigia , nikawa namdanganya Niko mkoa , akaendelea kunisumbua mwisho nikamwambia Kwa sasa sina gari ndio akaniachaWakuu salaam.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ilikuwa mwezi wa nne mwaka huu nilipata dharura ya kifedha; ni shida ya haraka ya fedha so nikaona niende kwa hawa jamaa wanajiita Platnum Credit. Wao wanatoa mkopo ndani ya muda mfupi sana ila riba yao ni kali sana. So mi nikawaambia nahitaji mkopo ( ni kama laki sita hivi) ila baada ya miezi mitatu nitalipa hela yenu yote ili nisitishe makato kwenye salary yangu.
Hawa jamaa wana riba kubwa sana yaani fikiria hiyo laki sita niliyokopa inatakiwa nilipe milioni tatu kwa muda wa miaka nane. So tukakubaliana baada ya miezi mitatu nitakuja ku clear deni ili kuachana ni hizo riba( coz ukilipa saizi unalipa ile ile uliyokopa).
Sasa tangu mwezi wa tisa nawadai wanipe balance ya deni langu ili niwalipe, hawataki; mbele ya kutimiza mashati yao waliyonipa like kuandika barua ya kuomba kusitisha deni na kulipia elfu kumi lkn mpaka leo jamaa hawataki kunipa balance yangu.
Mpaka nimekata tamaa jamaa ni kama hawataki kuwaachia watu waliokopa kwao. Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri na mwongozo nifanye nini ili nipate balance yangu niwalipe nimalizane nao, kuna muda nawaza niende polisi maybe nitapata msaada. Lakini kabla ya kufanya yote hayo naombeni ushauri wenu nipite njia gani ili niweze kufanikiwa. Maana naona kwa njia ya amani imeshindikana. KARIBUNI SANA.
Waandikie demand letter yakutaka kuwapeleka mahakamani
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba maelekezo zaidi juu ya hii demand letter, naandikaje? Yaani nafungua kesi mahakamani au naanza kuwaandikia wao kwanza juu ya nia yangu ya kuwaburuza mahakamani?Waandikie demand letter yakutaka kuwapeleka mahakamani
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Nenda makao makuu yao,mshirikishe na afisa utumishi wako yeye ana uwezo wa kusitisha makato.Wakuu salaam.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ilikuwa mwezi wa nne mwaka huu nilipata dharura ya kifedha; ni shida ya haraka ya fedha so nikaona niende kwa hawa jamaa wanajiita Platnum Credit. Wao wanatoa mkopo ndani ya muda mfupi sana ila riba yao ni kali sana. So mi nikawaambia nahitaji mkopo ( ni kama laki sita hivi) ila baada ya miezi mitatu nitalipa hela yenu yote ili nisitishe makato kwenye salary yangu.
Hawa jamaa wana riba kubwa sana yaani fikiria hiyo laki sita niliyokopa inatakiwa nilipe milioni tatu kwa muda wa miaka nane. So tukakubaliana baada ya miezi mitatu nitakuja ku clear deni ili kuachana ni hizo riba( coz ukilipa saizi unalipa ile ile uliyokopa).
Sasa tangu mwezi wa tisa nawadai wanipe balance ya deni langu ili niwalipe, hawataki; mbele ya kutimiza mashati yao waliyonipa like kuandika barua ya kuomba kusitisha deni na kulipia elfu kumi lkn mpaka leo jamaa hawataki kunipa balance yangu.
Mpaka nimekata tamaa jamaa ni kama hawataki kuwaachia watu waliokopa kwao. Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri na mwongozo nifanye nini ili nipate balance yangu niwalipe nimalizane nao, kuna muda nawaza niende polisi maybe nitapata msaada. Lakini kabla ya kufanya yote hayo naombeni ushauri wenu nipite njia gani ili niweze kufanikiwa. Maana naona kwa njia ya amani imeshindikana. KARIBUNI SANA.
Hao alitakiwa kuwakomalia haswa. Na yeye kwa nini uchukue mkopo wa laki 6 halafu ukubaliane kulipa kwa miaka 8? Alikuwa anatakiwa kurejesha sh. Ngapi kwa mwezi? Labda eje na ufafanuzi zaidi, labda alimaanisha miezi 8.Wasenge hao kila sku walikuwa wananipigia et nikachukue mkopo Kwa dhamana ya Kadi ya gari , kuna mdada yaani kila mara ananipigia , nikawa namdanganya Niko mkoa , akaendelea kunisumbua mwisho nikamwambia Kwa sasa sina gari ndio akaniacha
Hao jamaa hawafai hata mm waliwahi kunifanya nikaishi maisha ya kichokoraa miaka mitano na ukitaka kuwalipa hawakupi balance niliwatisha mahakamani ndyo wakanipa balance tukamalizanaWakuu salaam.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ilikuwa mwezi wa nne mwaka huu nilipata dharura ya kifedha; ni shida ya haraka ya fedha so nikaona niende kwa hawa jamaa wanajiita Platnum Credit. Wao wanatoa mkopo ndani ya muda mfupi sana ila riba yao ni kali sana. So mi nikawaambia nahitaji mkopo ( ni kama laki sita hivi) ila baada ya miezi mitatu nitalipa hela yenu yote ili nisitishe makato kwenye salary yangu.
Hawa jamaa wana riba kubwa sana yaani fikiria hiyo laki sita niliyokopa inatakiwa nilipe milioni tatu kwa muda wa miaka nane. So tukakubaliana baada ya miezi mitatu nitakuja ku clear deni ili kuachana ni hizo riba( coz ukilipa saizi unalipa ile ile uliyokopa).
Sasa tangu mwezi wa tisa nawadai wanipe balance ya deni langu ili niwalipe, hawataki; mbele ya kutimiza mashati yao waliyonipa like kuandika barua ya kuomba kusitisha deni na kulipia elfu kumi lkn mpaka leo jamaa hawataki kunipa balance yangu.
Mpaka nimekata tamaa jamaa ni kama hawataki kuwaachia watu waliokopa kwao. Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri na mwongozo nifanye nini ili nipate balance yangu niwalipe nimalizane nao, kuna muda nawaza niende polisi maybe nitapata msaada. Lakini kabla ya kufanya yote hayo naombeni ushauri wenu nipite njia gani ili niweze kufanikiwa. Maana naona kwa njia ya amani imeshindikana. KARIBUNI SANA.
hahaaa duhKuna thread kama hii nadhani ya 2018 hapo. Jamaa alienda akawatembezea ngumi za kutosha, kesi ikaisha pale pale. Ukienda Polisi utaishia kuwapa Polisi pesa Kisha watakwambia hawahusiki na mambo ya madai.
Ushauri wangu, nenda kapige mkwara mzito saaaaana sana, yaani kafanye valangati la Maana.
Bayport walimsumbua Sister Aisee, Ofisi zao zilikua pale Moroca jirani na jengo la Airtel sasa, tulikusanyana wanaume kama watano na Dada tuko nae hahahaha Ile issue waliifuta ghafla.
Naanza kuona kuwa vikao vyetu kuna watu hawavitilii maanani sababu tushasema sana alafu leo mtu anakuja kulalamika kama sio kutaka tumfute kwenye vikao vyetu ni niniYaani tumepiga kelele weee! Lakini bado kuna watu wanatuzunguka, na kwenda kukopa tena kwenye hizo taasisi katili za kifedha!!!
Bora nmekuta huu Uzi,na mm yamenikuta kwa Bayport,nmeomba salio kwao tangu Dec,wakaniahidi nisubiri cku 30 za kazi ambapo tyr zimetimia lkn balance hawataki kutoa,wanasema tu ikiwa tyr ntatumiwa,nafikiria kumpa mwanasheria Dili tupige hela,naomba ushauri wa mawazo.Wakuu salaam.