Nangojea upate majibu nami nipate faida, ila maswali ya maana naona hawajibu wanakuja miungu watu kukupa ushauri na kukukataza yaliyo moyoni mwako masai dada
Nimebahatika kutembelea nchi ambazo zina usawa wa kijinsia au hata niseme wanawake wana ''nguvu'' kuliko wanawaume lakini usidanganyike: mwanamke atabaki kuwa mwanamke na katu hatakaa awe sawa na mwanamme.
Nangojea upate majibu nami nipate faida, ila maswali ya maana naona hawajibu wanakuja miungu watu kukupa ushauri na kukukataza yaliyo moyoni mwako masai dada
Pole sana dada, jitahidi tu mazoezi, ushauri wangu wa mwisho, achananayo surgery, utajutia na utakuja kukumbuka maneno yangu. Allah amekuumba kama ulivyo, so usimkosoe!
Pole naona hujapata majibu zaid ya ushauri usiouhitaji
nadhani unaweza tu kugoogle hata kwa kiswahili kama kingereza kitakupa shida....siku kutengeza shep ndiyo mpango mwaya maisha yenyewe mafupi haya enjoy
I am a surgeon at muhimbili orthopaedic institute. Nakushauri achana na mambo ya surgery zisizo na ulazma. Mimi napasua watu daily najua matatzo ya kupasuliwa.
Huwa wanabadilisha sijui kila baada ya miaka 10/15 haswa zile za milk na kota nasikia yale masilicon huwa yanapasuka yakikaa muda mrefu,,,sijui wanayapendea nini,,,mtu aliyefanya hizo plastic surgery anajulikana ukiyagusa yanakua magumu kichiz hata akitembea alinesi natural ni natural tu!
Kuna nchi zinaongoza kwa cheap plastic surgery ila sijaona wakieka kalio wao sura,ualaza,nywele,macho,lips,milk na tumbo(South Korea) yan kule baadhi ya wanaume zao usipowaangalia vizur unaweza jua wanawake hahaha