Kina Tomasso huwa hawakosekani.Cha muhimu ni kujua masterplan ya jiji ikoje ndio uanze kulaumu...
Anza na ulipo....!Tupe mifano.
Hupo sahihi, lakini kwanini uwezo wetu wa kufikiri unaishia kipindi cha miaka mitano mitano ama ikizidi kumi tu? Kwanini tusiwe na uwezo wa kufikiria zaidi ya miaka 50 ama 100 mbele? Je kwa unavyosema, what will be next after Kibamba? Kibaha ama Chalinze?Hata Dsm stendi zilianzia Mnazi mmoja, Kisutu na Kariakoo baadaye zikaja ubungo sasa zinahamishiwa Kibamba ni jambo la kawaida sana!
Hata Dsm stendi zilianzia Mnazi mmoja, Kisutu na Kariakoo baadaye zikaja ubungo sasa zinahamishiwa Kibamba ni jambo la kawaida sana!
Baadae hakutakuwa na haja ya stendi tutatumia Treni ndio maana stesheni huwa haziamishi.Hupo sahihi, lakini kwanini uwezo wetu wa kufikiri unaishia kipindi cha miaka mitano mitano ama ikizidi kumi tu? Kwanini tusiwe na uwezo wa kufikiria zaidi ya miaka 50 ama 100 mbele? Je kwa unavyosema, what will be next after Kibamba? Kibaha ama Chalinze?
Mtazamo wangu ni kwamba tuache kufikiri kimsimu msimu ama kiuchaguzi chaguzi. Tuwe na Malengo marefu
Hata naivyo asubuhi na jioni kuna folen balaa had njia panda ya kisasaNadhani muda sio mrefu itahitajika barabara4 pengine kutoka pale nzuguni juu/st.peter clever mpaka ije kuungana na round about ya bohari/dom sec kwakua hio njia itakua na foleni balaa
Stendi huwa haidumu inayodumu ni Stesheni!Tusiwe watumwa wa historia. Tufanye kidumu, ibaki kuboresha tu.
Hilo la ring roads ku-control msongamano wa magari hata mimi nimeliongelea kama umesoma vizuri nilichoandika.Hoja yanga hapa ni mambo mengine ambayo ni muhumi kiuchumi na kijamii kueleezwa upande mmoja.Iko hivi
Hapatakuwa na msongamano, kwanini...
1. zinajengwa ringroad TATU, ya kwanza imeanzia Martin Luther ya pili iko mbele ya soko na.uwanja na ya tatu iko mbele zaid kule mji wa serikal na bado kuna brabara nyingi ambazo zinaingia na kutoka...
mfano ukitokea nala na unaenda stand kuu utakuwa huna haja ya kupiya katikati ya huu mji wa sasa (baadae tutauita mji wa zaman) bali utapita hukohuko nje ya mji either kulia kama unaitafuta iringa road au kushoto kama unaitafuta arusha road na utatokea stand,
mabarabara ni mengi kiasi hata ukitoka airopt kubwa (inayojengwa) utakuwa na uwezo wa kupita juuu kwa juu na ukatokea Stand ya SGR... huu msongamano mnao uwaza hautakuwepo
upande wa singida road kuna taasisi nyingi kama za elimu na mashirika yamejielekeza huko, iringa road pia na arusha road kuna uwanja mkubwa wa ndege na future plan kubwa
Unataaluma ya upangaji miji? Ama unaendeshwa na husia sababu mashamba yako bihawana hayana wateja kabisa bei chee?
Tambua kuwa hata Roma haikujengwa kwa siku moja na bado mpaka leo kuna mapya yanafanyika...ta
Tusiwe watumwa wa historia. Tufanye kidumu, ibaki kuboresha tu.
Yetu macho na masikio mkuu!!Mtu mmoja anataka kupanga kila kitu na haya ndio madhara yake
RING ROAD hazisaidii kitu km hakuna watu, kuna Mji uliitwa Gaberote wa Mobutu Sese seko ulikuwa hauna plan ili uwatosheleze wakaziIko hivi