Kuanzia saa ngapi mkuu?Sikiliza E-FM Joto la asubuhi kuanzia kesho wapi wamejaa tele
Kuanzia saa ngapi mkuu?Sikiliza E-FM Joto la asubuhi kuanzia kesho wapi wamejaa tele
joto la asubui kinaanza saa 12 asubui mpk saa 3 asubui, jumatatu mpaka ijumaaKipindi chao kinaanza sangapi
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]joto la asubui kinaanza saa 12 asubui mpk saa 3 asubui, jumatatu mpaka ijumaa
12 asubuhi mkuuKuanzia saa ngapi mkuu?
hivi hiyo e.fm imetengenezewa hapo dar tu si mlete na huku mikoani, kwa kweli namkubali sana PJ ana utani flani hautachoka kumsikiliza hasa wakiwa na huyo hando.