Clouds kiti cha mchambua magazeti baado cha moto... Fredwaa hivi bado yupo? Abel onesmo ndo mchambua magazeti!!! Anasoma kama wale wa redio Tanzania ya zamani...wenzake hawampi support...yaani zigizaga... Kipanya nae mmmh hata simuelewi... Bora nibaki kwa Bazili Mbakile tu.
huko efm sasa gerald full kupishana koridoni na jide ambaye walikuwa wanampiga kijembe kipindi wako clouds....gerald ajifunze sasa ugomvi wa mabosi asiingilie, maisha yanabadilika kama hivyo sasa.
Bonyeza kitufe cha rimoti ya king'amuzi kilichoandikwa TV/radio ,dikoda zilizo nyingi unapata radio stesheni nyingi tu halafu unachagua unataka kusikiliza radio gani.
Hicho kitufe kwenye rimoti ya king'amuzi kipo juu kulia.
huko efm sasa gerald full kupishana koridoni na jide ambaye walikuwa wanampiga kijembe kipindi wako clouds....gerald ajifunze sasa ugomvi wa mabosi asiingilie, maisha yanabadilika kama hivyo sasa.
huko efm sasa gerald full kupishana koridoni na jide ambaye walikuwa wanampiga kijembe kipindi wako clouds....gerald ajifunze sasa ugomvi wa mabosi asiingilie, maisha yanabadilika kama hivyo sasa.
tena kuna siku aliwahi kuropoka hewani eti kama jide anaitwa anajiita mwanamziki wa,kizazi kipya dogo aslay ajiitaje!! yaani hiyo siku aliponda hadi nikazima redio.
tena kuna siku aliwahi kuropoka hewani eti kama jide anaitwa anajiita mwanamziki wa,kizazi kipya dogo aslay ajiitaje!! yaani hiyo siku aliponda hadi nikazima redio.
Efm naomba mumpe Gerald muda mwingi WA kuongea hasa interviews nk...buni kitu kama ile ya bonge itakua poa sana...Adela aache kiherehere cha kukontroo kipindi Gerald sio MTU WA kufunikwafunikwa jamaa ni madini wanayachezea...PJ safi sana mda wa magazet unatosha kabisa ila bac mdadavue sio kusoma tu
Adela haendani na kina PJ na Hando huo ndio ukweli...na mamiziki ya nini? Weka contents watu waongee...recorded clips za kaz gani why msiwahoji live wahusika...Gerald yupo tuu bado hajatumika ata robo jamani...Kama VP Gerald ongoza kipindi na PJ bac!!!!